Nipeni mchongo wa shekeli

Nipeni mchongo wa shekeli

SUZANE

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
740
Reaction score
502
jamani walevi wakikutana baa hupeana madili ya hela

walokole wakikutana kanisani hupeana habari njema za Mungu!

Na mimi leo niko JF, humu nimegundua kuna watu wenye michongo mikali na mirefu ya fedha!

Nakusubiri inbox unipe dili, yaani namaanisha...

wewe unaedharau, na majibu yako ya kejeli nitarudi kwako baada ya muda kukushuhudia,usinionee wivu...
 
unapokea kila aina ya dili litakaloletwa mbele yako?? take care
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom