Inawezekana uzi huu ukaishia hapa mimi nilipokujibu..., kwa kuwa labda moderators wamepitiwa na usingizi..., wakiamka watakutafuta wakutie makofi...
Nilipokuwa mtoto nilikuwa najisemea moyoni eti nikiwa mkubwa nitanunua km gari lile la fulani au nitajenga Nyumba kubwa na ya Kifahari mtaa mzima iwe saluti,nilipokuwa mambo yakawa yanaenda henamu hadi ninahisi kuchanganyikiwa,Duh utoto raha!!!,Ndo maana Lady Jay de aliimba kuwa Natamani kuwa km Mtoto.