Unapewa uraisi Tz kwa masaa 24 utatumia vipi nafasi yako?

Gody

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,245
411
Wanajamvi/chit-chat unapewa nafasi ya uraisi na mamlaka yote ndan ya masaa 24 utaacha heshma gani Bila kuingiza chama chako cha siasa???

sasa kama mm napewa mamlaka kama haya 1.natema mkwara wawaachie wale wote waliofungwa kwa hira kwa hiari yao kabla ya masaa 2 sjaja kukagua nikija tu hawana kazi!! Ili waachie nafas ya mafsad
2. Weka mafisad woote maabusu siangalii sura sijui epa na richmon wote na wamwaka huu wasije wakakimbia
af ndo navuta riport ya CAG napitia tena zile sehemu zilizosemwa bungen ambazo haziitaji kuzsoma kwa phd wizara zote nikkukuta na kosa huko huko hukumu bila kujua siku ya kutoka!!!
3. Hapa ndo kimbembe
tume huru ya fasta kwa walio mtesa Dokta
na dokta mwenyewe akiwemo akiwasaidia
sasa mkimshika mtuhumiwa meno mawili tu moja chini lingne juu ya mbele
si mpeleki keko wala segerea huyu namfoward GWANTANAMO! kudadekii

ni kwa mfano tu!!!
 
Nitahakikisha naacha nimeshasign ujenzi wa daraja Dar kwenda Unguja.
 
nawaeleza mikakati ya kulikomboa taifa 2. Nawafukuza kazi KOVA na MZEE WA MEEE na nahakikisha nawapeleka Mabwepande 3.kama muda utaruhusu namnyang'anya vasco dagama zile suti alizohongwa
 
1. Nitamwachia huru papii kocha,babu seya simuachii ng'o.
2. Chenchi ya rada nitahakikisha watoto wote inji hii wanapata kiti na desk,aibu jamani wanetu kukalia mawe.
3.NBC nitaitaifisha,hivi kwa nini tuliiuza?
4. Nitapiga marufuku uanzishwaji wa migodi mipya,kama hatuwezi kuchimba wenyewe kwa mtaji wetu bora tuviachie vitukuu vitajua la kufanya,sio wakute mashimo.
5. Mwisho but more importantly nitamkaribisha dina ikulu The secretary.
 
Last edited by a moderator:
Badilisha mikataba ya madini,gesi govt kuwa na 51%.mla rushwa kupigwa risasi,waendao guest kuwa na vyeti vya ndoa
 
1. Nitamwachia huru papii kocha,babu seya simuachii ng'o.
2. Chenchi ya rada nitahakikisha watoto wote inji hii wanapata kiti na desk,aibu jamani wanetu kukalia mawe.
3.NBC nitaitaifisha,hivi kwa nini tuliiuza?
4. Nitapiga marufuku uanzishwaji wa migodi mipya,kama hatuwezi kuchimba wenyewe kwa mtaji wetu bora tuviachie vitukuu vitajua la kufanya,sio wakute mashimo.
5. Mwisho but more importantly nitamkaribisha dina ikulu The secretary.

kwenye namba 4 wamarekani watakuwa wapi kuku gadaf?
 
Last edited by a moderator:
nawaeleza mikakati ya kulikomboa taifa 2. Nawafukuza kazi KOVA na MZEE WA MEEE na nahakikisha nawapeleka Mabwepande 3.kama muda utaruhusu namnyang'anya vasco dagama zile suti alizohongwa

kuwafukuza unakuwa hujawatendea haki yaan mimi nikuwapeleka Gwantanamo!!
Mpaka aliyenipa hayo madara atatamani nisiachie nchi!
 
Ningehakikisha PLATOZOOM & CHARMINGLADY nawapigisha ndoa ya mkeka! Leoleo .
 
Kwanza kuwafilisi mafisadi na kuwaua wananichefua sana cwapendi wameleta ugumu wa maisha na kuisababishia serikali kupoteza imani kwa wananchi
 
lazima ningechukua umiliki wa migodi, ardhi maelfu ya ekari, ningejimegea pande la bahari nikajenge hoteli inayoingia hadi baharini kama double tree,
 
Wanajf wote mkataba haraka sana migodi sie mbuga sie tenda zote sie wakuu wa mikoa wote sie mabalozi ili mradi mtu asaini hata mtandaoni. waliomtesa uli wangenikoma.
 
Wanajf wote mkataba haraka sana migodi sie mbuga sie tenda zote sie wakuu wa mikoa wote sie mabalozi ili mradi mtu asaini hata mtandaoni. waliomtesa uli wangenikoma.

duh ! Kweli unahasira!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom