bategereza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 3,314
- 1,072
Wiki iliyopita nilikua maeneo ya Ludewa. nikaona nipite kwa sangoma chap chap ili na mimi nikirudi Dar nijenge gorofa Manzese.
Masharti niliyopewa yalinishinda.
Kwanza kabisa nisiwe na michepuko. nisile nyama na familia yangu. mimi na waifu tuvae nguo hizo hizo wiki nzima bila kufua. chakula kiwe uji asubuhi. mchana na jioni ugali na maharage ya chumvi tu. soda na bia ni mwiko. kukopesha ndugu marufuku. kulea lea ndugu au jamaa mwikol.Nivae mitumba ya bei rahisi tu.
Ada ya mganga ni laki tatu tu. Nilimwuliza mganga. kwamasharti haya nahitaji tena ddawa ya nini.