Wale mabaunsa wenye mambo kama ufunguo (yani juu amejaa halafu chini ni kama sigara) nimeshuhudia muda mfupi uliopita akitishiwa bastola baada ya kufunga cheni gari ya mzee mmoja anaesadikiwa kuwa...
habari jamani, nimetokea kulipenda jukwaa ili , nimevutiwa na ID za wadada japokuwa sijawaona naomba tafadhali wadada wote mlioko humu mniPM ili tuwasiliane zaidi
ASIKUDANGANYE MTU HAKUNA MWANAUME DUNIANI ASIYEPENDA INYE
Narudi hakuna! Hata wewe ambae ni kimodo na boy wako anakusifia kwelikweli usijishaue ukadhani kwasababu yupo nawewe kimodo basi inye bai...
Jamani haka kamsemo naona kamezagaa kama moto wa nitrogen ktk media, mitaani na mavyuoni.
Sasa ajabu leo nimemskia hadi mpiga debe anakatumia pale anapoita abiria wanagoma.
Hiv mwanzo wake ni...
Ni leo usiku huu nimeenda dukani nikaulizia chumvi sasa nikajibiwa hakuna nikauliza tena kama chumvi wanayo wakasisitiza kua hakuna, nikaamua kuondoka kwenda duka jingine lakini baada ya hatua...
Habarini wanajamvi.
Nyakati zinasonga sana , miaka inakimbia na miezi hata siku zinakaribia hii yote inaonesha kuwa tunasogea kwa hatua kukua kimo na kiakili Kwanini mabestio nasema hivi kwani...
Wadau,
Sijui kwa wale wanywaji wenzangu kama inawatokea. Mimi nikinywa kuanza bia 3 nakuwa active sana kwenye yale mambo yetu ya Kitandani.
Nikinywa siku hiyo mwenzangu anajua kuwa...
Tunajua mbugani kuna wanyama kibao wa hatari kama simba, chui, nyati, kiboko, kifaru, chitah, kifutu, n.k. Lakini ni mnyama gani wa hatari ambaye usingependa kukutana nae ana kwa ana mbugani...
Napenda kuchukua fursa hii kumu wish baba Agapeo na Leona a very happy birthday, may ur special day be fulfilled with happiness and joy, sadly mama Agapeo yuko busy kuwaekea maisha watoto na...
Habari,
Asume wewe Member wa JamiiForums ndio Umeteuliwa Kugombea Urais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania, Je ungekuja na Sera gani za kuwashawishi watanzania wakuchague?
Salaam,
Nikiwa katika pita pita yangu town huku nimeaga natoka kidogo na nimempa lift opposite sex kwenye gari mara naona simu inaita.''Baba Ismail hivi hapo ndio(anataja jina)? Nasema kwani...
Ndugu jamaa na marafiki inanichukua muda sana kumtafakari huyu jamaa Nape ..namwona ni mtu asiye ijua siasa kabisa na cheo alichonacho hakilingani na upana wake na undani wa siasa iliyopo...
Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi, usingizi ule wa kukesha jana yake, halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya saa moja moja hivi.
Ile unaamka kwa hasira...
Habari wana jf
karibuni kwenye mchezo wa kutunga sentensi kwa kutumia Id zetu.
Atakayetunga sentensi nyingi zaidi ndiye mshindi na zisijirudie.
Naanza;
1. Ritz ukikaidi utapigwa2...
Kuna mdada,alinivutia hapa MMU,nikamuomba namba zake,nikamcheck,tukatumiana picha watsap kila mtu akaridhika na mwenzake.Ila cha ajabu toka juzi nikimpigia simu hapokei,ila watsap namuona online...
Baada ya miaka kumi (au hata 5) Je, utafanikisha nini katika maisha yako ?
Where do you see yourself after 10 years from now ?
Hili swali ni zuri kama ukijiuliza nadhani utajua nini unahitaji.