Unanisemea kwa sweet wangu ili iweje?

Unanisemea kwa sweet wangu ili iweje?

fatu2010

Senior Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
173
Reaction score
143
Salaam,

Nikiwa katika pita pita yangu town huku nimeaga natoka kidogo na nimempa lift opposite sex kwenye gari mara naona simu inaita.''Baba Ismail hivi hapo ndio(anataja jina)? Nasema kwani vipi, kuna shida gani? Niliona nifike mpaka huku mara moja, kwani kila sehemu niendapo lazima niseme!

Eh kumbe kuna mmbea ambae vocha yake haina kazi kisa kufuatilia mambo ya watu. Sasa wewe unaempigia shemej yako simu kusema umeniona nimempa lift xxx unataka nikuoe wewe? Na kwanini uone ni 'ishu' mpaka useme kwamke wangu? Nikikujua wewe nitakuoa.

Umbea wa hivyo ni wa kipuuzi umenikera sana wewe na mke wangu kanuna ile mbaya, sijui uliongeza na chumvi gani huna haya wewe kufatilia mambo ya watu.
 
Mmbea kweli, yaana umeaacha kazi zako umekuja kusema huku.. !!
 
Hahaaa, fatu bana! Si ukubali tu ulikuwa na mchepuko...?!
 
Kopi na kupesti pasipo kuelewa ujumbe hii ndio hasara yake
 
mmmh huyo mbea kwel ana mijicho usiku huu kwel amekuona kabisaaa
 
fatu kwani wewe ndio uliyetoa lifti au uliepwa lifti?!
 
yaani nimerudia umeandika kama wewe ni wa kiume ila maandishi kama wakike na jina lako fatua au na avatar duh ngachoka mie. atakuwa amekusoma huyo mmbeya
 
Huyo mwanamke ameweka watu wake wakichunguze.
Amekuhisi toka kitambo.
 
Salaam!
Nikiwa ktk pita pita yangu town huku nimeaga natoka kidogo na nimempa lift opposite sex kwenye gari mara naona simu inaita.

''Baba Ismail hivi hapo ndio ....... (anataja jina)? Nasema kwani vipi, kuna shida gani? Niliona nifike mpk huku mara moja, kwani kila sehemu niendapo lazima niseme!

Eh kumbe kuna mmbea ambae vocha yake haina kazi kisa kufuatilia mambo ya watu. Sasa wewe unaempigia shemej yako simu kusema umeniona nimempa lift xxx unatka nikuoe wewe? Na kwa nn uone ni 'ishu' mpk useme kwa wife? Nikikujua wewe ntakuwowa.

Umbea wa hivyo ni wa kipuuzi umenikera sana wewe na wife kanuna ile mbaya, sijui uliongeza na chumvi gani huna haya wewe kufatilia mambo ya watu!

Hizi ndo athar za BRN!
Hadi unasahau namna ya kudanganya!
Mbaffffffff kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom