huyu ni mtoto wa mama ntilie ndani ya ccm...

vonteper

Member
Jan 29, 2015
24
9
Ndugu jamaa na marafiki inanichukua muda sana kumtafakari huyu jamaa Nape ..namwona ni mtu asiye ijua siasa kabisa na cheo alichonacho hakilingani na upana wake na undani wa siasa iliyopo..
Ningependa nifahamishwe tuu huyu jamaa anaelimu gani ..?
...na siasa aliianza lini?
na hivi kua mwenezi wa ccm lazima uwe mropokaji?
..hapa ndipo napo tambua mtto wa mama ntilie hata alelewe ikulu utamjua tuu.
Kwelii wanako elekea ndo ule mda wakulia na kusaga fizi maana hata meno hawana tena ...kuhani yupo kwenye zamu vzr people..............
 
Mkuu vonteper, japo nakuunga mkono kupinga uropokaji wa vuvuzela Nape, naona kama unawatusi mamantilie. Kwani mtoto wa mamantilie yupoje? Nadhani sio vema kumkejeli mtu kwa nafasi yake aliyopo katika jamii. Hata mamantilie wangependa wote wawe wake za marais, (first ladies). Hata watoto wote wangependa wazaliwe Ikulu. Lakini je inawezekana hilo? Binafsi ningesema uropokaji kwa ujumla ni tabia ya mtu, lakini katika uwanja wa siasa, labda ni baadhi ya mbinu za wanasiasa kuuteka umma wao. Ni maoni yangu tu.
 
Unajua hayo anayoyafanya NAPE sio kwamba yanatokea kwa bahati mbaya, la hasha, hizo ni propaganda kwa ajili ya kuvuta attention ili watu wajue kuna nini upande huu. Siasa ni fitinah na wewe ambaye upo nje ya hiyo kitu huwezi jua nini kinaendelea. Wakati mwingine hupanga kabisa jambo fulani litokee.

Rekebisha hapo kwenye kashfa ya mama Ntilie maana pia anaweza kuwa mama yako, shangazi yako, bibi yako, etc.
 
Mbona hiyo hata haihusiani na hili jukwaa.....!! Watanzania siasa inatufanya tuwe wajinga sana na kujikuta tunalazimika nyekundu kuiita pink
 
Back
Top Bottom