Katika khali isiyo ya kawaida jana katika kituo Mwanangati kwa Mfipa, mmasa aliyekuwa na silaha za jadi aligeuka kuwa kituko baada ya waliokuwa wamefoleni kuanza kukimbia wakidhani kuwa anaenda...
"Big born"
"Mkali wao wa kitaa"
"Nyota ya kitanda"
"Usinichokoze"
"We ---- nini"
"Mwajuma fuata ----- wako"
Ni maneno mengi mno huandikwa humo,hivi lengo lao/lenu huwa ni nini...
Kuna wimbo ulitoka wakati niko primary lkn jina na msanii simkumbuki
Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kuupata either jina la wimbo au msanii nitashukuru sana
Baadhi ya mashairi ni kama hivi...
Kadri siku zinavyoenda mambo yanabadilika. Unaweza kuhudhuria misiba mingine badala ya kulia ukajikuta unafyatuka kicheko.
Jamaa mmoja msibani nimemsikia analalamika kwenye simu kwamba kwanini...
Hellow Galadudu nimekuwa nafurahishwa sana na nyuzi zako, na wakat mwingine zimekuwa zikiniondolea stress...... naamini utakuwa ni mtu flani hivi wa kipekee na nitafurahi sana cku moja tukikutana...
Kuna mdada nilikutana naye kwenye sendoff moja jijini Arusha hivi majuzi.Aliponiona akanifananisha na mtu anayemfahamu, akanijia na kunisalimu.
Niliposhindwa kujibu swali moja aliloniuliza ndipo...
1.Majukwa yoote ya Jamiiforums yafungwe isipo kuwa hili la Chit chat.
2.Member wawe na uhuru wa kugombea nafasi ya u admin au u mode.
3.Kwa kuwa haki sawa kwa wote ipo basi wanaume wasioe tena...
Wazee wawili walikua wamekaa chini ya mti wakizungumza kuhusu watoto wao huku kila mtu akimsifia mtoto wake:
BABA KIBONOKA: Wewe huniambii kitu, mwanangu ana akili kuliko hata wako
BABA KIPONDO...
Hivi tu hali haitamaniki!
Huwa najiuliza; ingekuaje kama Mola muumba angetukabidhi funguo za rizki kugawiana miongoni mwetu? Watu wa hali ya chini tungesalimika?
Baba mmoja alichoshwa na maendeleo ya mtoto wake kwenye somo la hisabati.
Kila mwisho wa muhula ripoti ikija, mtoto kapata 10% au chini ya hapo.Baba
kaona hii noma, bora amhamishie mtoto kwenye...
Nina huyu mpenzi wangu wote ni wafanyabiashara na tunaishi sehemu tofaut hapa dar.tunawasiliana vizuri tukikutana tunafanya na ngono.
Lakini tatizo ni kwenye simu yeye hajawahi kunitafuta mimi...