Hii kauli imenichekesha sana leo asubuhi katika gazeti.
Eti mwanamke kamchapa Tyson K.O.. hehe
Wassira katulia tuli mbele ya Esther Bulaya.
Heko esta, mara haina mfumo dume tena
Zawadi nono kwa atakaejibu kwa Usahihi maswali yafuatayo:
1. Mwenye picha ya Magufuli akiwa na Mwl. J. K. Nyerere aitume, kuna 50,000/= angalizo isiwe editing
2. Mwenye picha ya Mh J. P. Magufuli...
Hii ni taarifa ya habari ya asubuhi kutoka televisheni yako ya Mabadiliko ya jijini Dar es salaam, Tanzania, msomaji ni mimi mwanamabadiliko! Habari za Kitaifa!
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya...
Huyu jamaa anarudia maneno hayo hayo tangu ameanza kampeni
1.Sitawaangusha
2.Standard geji
3.Ring road
4.Upembuzi yakinifu
5.Nikafunge makufuli huko juu
6.Nasema kweli kabisa
7.Hiyo pawa...
Nachoweza kusema ni shikamoo wachawi, baada ya jirani yangu ajulikanaye kama baba Masawe kuamka leo asubuhi akiwa na matope kibao wakati usiku kucha alilala na mke wake lakini asubuhi alipoamka...
Yule kiumbe wa ajabu Mikumi, simba mwenye vichwa 2 na macho ma 3, amebadilika na kuwa mkubwa kama nyati. Ni purukushani ndani ya pori, kwani anawaswaga wanyama wengine: tembo, vifuru, simba kama...
Kuanzia 2008 hadi leo. Naisikia live sauti yake mpaka nimekata tamaa. Nimejikabidhi kabisa kwamba sasa ni motoni confirmed. Na hiyo ni mimi peke yangu. Huu ndio utaratibu mpya wa mungu. Mimi...
Wakuu poleni kwa miangaiko na mishe mishe za kampeni iliyoisha hivi punde.
Leo baada ya mkutano ulioisha hivi punde huku kanda ya ziwa, Lile tangazo la Mangi na mteja wake limepata umaaarufu...
Kuna tukio la kushangaza limetokea sumbawanga baada ya mzee moja baba mwenye nyumba mwenye tabia ya unoko unoko kwa wapangaji wake kuamka asubuhi na kujikuta yupo ndani ya kabati la nguo na cha...
mtu ukila chakula usiku na ukavimbiwa sana lazima usiku utaota ndoto za ajabu ajabu,kutishatisha na mazombizombi tu kama uhamini jaribu kuvimbiwa leo usiku, sijajua kwa nini inakua hivi,
Kuna jambo linasumbua sana akili yangu, hivi kwanini wanawake wa uswazi kama Mbagala, Tandale, Manzese, Buguruni,nk. wanapenda sana kupiga umbeya na ushambenga kuanzia asubuhi mpaka jioni ina...
ni zaidi ya miaka 20 tangu nizaliwe(aged but still a young).. namshukuru Mungu kwa kunilinda mpaka siku ya leo tar 9/9 licha ya changamoto mbalimbali za kimaisha..
Nimekuwa member ya jf kwa mda...