JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles...
10 Reactions
42 Replies
3K Views
Ilikuwa hivi, familia wapo sitting room wakiangalia DVD ya movie siku ya weekend sasa kuna sehemu flani ikafikia wahusika wakaanza kukiss huku wamelegeza macho huku akiendelea kumvua blausi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii series nasema ndiyo best kabisa imeigiza maisha watu wanavyokimbizana na hatima zao Kwa tamaa ya pesa Ila kinachoniumiza kichwa hii series Kila mtu ALIESHIRIKI amechezewa mchezo 😁hata...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mulokozi (Mhaya) kamaliza degree ya sheria UD, sasa karudi Bukoba akaanzisha kijiofisi chake. Shughuli ikaanza hivi, kakaa kwa muda mrefu bila ya kupata customer kama zali vile, siku moja kijana...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
They see you wet from the bathroom, they ask were you taking a bath The answer : No I was sleeping. They see you sleep yet they ask, are you sleep The answer : No I'm in a coma. Your...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alikuwa na demu wake wa muda mrefu sasa akaamua amvalishe pete ya uchumba. Jamaa kaingia dukani akaona pete nzuri sana ya gold ile kuiona tu mshtuko ukampata akajamba, kisha akamuuliza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kulikuwa na Mfalme mmoja mpenda haki aliyetawala miongo ya nyuma. Sasa wakati anaingia katika ufalme akasikia katika wale anaowaongoza yaani watu wake kuwa kuna maadui wawili wakubwa ambao...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Mama mmoja mcha Mungu alikuwa na jirani yake mwenye roho mbaya kupita kiasi, siku moja akafungulia mabata yake ili yakajitafutie chakula. Bahati mbaya yakaenda kwa jirani yake, jirani kuyaona...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mama mmoja mcha Mungu alikuwa na jirani yake mwenye roho mbaya kupita kiasi, siku moja akafungulia mabata yake ili yakajitafutie chakula. Bahati mbaya yakaenda kwa jirani yake, jirani kuyaona...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Eti anasema "hio ilikuwa miaka ya 80 nini ??🀣🀣🀣🀣🀣" Millenials mmeanza kuwa makumbusho ya taifa sasa
0 Reactions
17 Replies
685 Views
Mimi Ni mmoja wa wanachama wa CHADEMA ambao kutwa Ni kulia Lia mitandaoni tu. Mara Katiba mpya, tume huru, kukosoa mawaziri bhaasi tumemaliza ila kwenye CHADEMA hatuna demokrasia (kikomo cha...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu natumaini mu wazima wa afya,.... Katika maisha, binadamu tumekuwa watu wa kujifunza mambo mbali mbali kila siku, hali inayopelekea WATU kubadili mitazamo na baadhi ya imani pale...
14 Reactions
58 Replies
2K Views
Wakuu ni kitu gani ambacho ulikianza kama utani lakini leo hii imegeuka kuwa uraibu kwako yani huwezi kukaa bila kufanya hicho kitu. Kwangu mimi ni kucheza games(play station). Nakumbuka kipindi...
10 Reactions
111 Replies
5K Views
Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na...
1 Reactions
2 Replies
319 Views
Habari za kutwa wanajukwaa?, Kwenye maisha kila mtu ana malengo yake aliyojiwekea kutokana na kile ambacho anatamani kutimiza maishani lakini kwa sababu ya changamoto mbalimbali za maisha...
0 Reactions
10 Replies
474 Views
Jamani tujiandae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tunajipumzisha kidogo kisha tunaanza kumpelekea moto mama
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Ninawasilisha! Merry Xmas and Happy New Year 2025
8 Reactions
16 Replies
924 Views
A DRUNK Turkish man spent hours helping a search party look for a missing person before realizing he was the missing person. Beyhan Mutlu, 50 yrs, from the north-western province of Bursa, had...
11 Reactions
6 Replies
619 Views
Ndoto ni kama movies ambazo zinatengenezwa akilini mwetu. Wakati tukiwa tumepumzika usiku, ubongo huwa upo kazini bado, hutuandalia ulimwengu mpya ambao huwa na mambo tofauti na haya tuyaonayo...
2 Reactions
11 Replies
611 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…