Kuna ka video kanasambaa kama moto Wa gesi katika mitandao ya kijamii.. Ka video haka kana waonyesha wadada wa4 wakijirekodi Na kusifia kuwa ukawa kuna watoto wazuri..
Tafadhali kama ni wewe au...
Habari za weekend!
Kama kichwa kinavyo jieleza, kulingana na hali tuliyo nayo...katika siasa vyama mbalimbali vimeshateua majina ya wabunge kuwa viti maalum,
Kutokana na kufahamiana kupitia...
Kulikuwa na mashindano kwa familia zenye watoto kumi (10), mshindi alitakiwa apate zawadi ya sh million moja. Jamaa mmoja alikuwa na watoto 9 nyumbani akamwambia mkewe,samahani mke wangu nilifanya...
Magufuli inabidi atembelee migahawa yote inayouza chakula kati ya saa 2 asubuhi mpaka saa 6 mchana na saa 8 mchana mpaka saa kumi. Hawa wanakiuka mida ya kazi kwa kuuza chakula na kuwafanya watu...
TANGAZO! TANGAZO!
TANGAZO!
Ni kwa wachaga wote mlio safarini, msimu wa kurudi majumbani unakaribia takriban imebaki mwezi mmoja! wale mnaokuja na mkate 1,tena wa buku! sukari kg 1 mnapokuja...
No english dictionary has been able to explain the difference between the two words,"complete and finished".
Some people say there is no difference between complete and finished, but there is...
Wiki ilopita tulishuhudia ziara ya ghafla ya mheshimiwa Rais JPM wizara ya fedha na kushuhudia wafanyakazi wengi wakiwa off kwa lunch vp hali ya huduma jumatatu ya leo katika maofisi mbalimbali?
Watu wawili, mwanamke na mwanamme walikwenda kwa daktari mtaalamu wa mambo ya uzazi. Daktari akawauliza, "Ninaweza kuwasaidia nini?" Mwanaume akamwambia, "Tafadhali daktari unaweza kututazama...
Habari!
Sababu ya hili ni kama zifuatazo;
Umbali kutoka Kigoma Mjini zaidi km 200
Tofauti za kilahaja ,msamiati na miundo ya sentensi. Na maanisha utamaduni hauingiliani sana, ingawa wapo...
Hivi kama ndoa ingekua ni kifurushi kama vile vya mitandao ya simu MB, kuna vile vifurushi vya masaa, siku 7,mwezi na miezi, je katika ndoa yako ungejiunga na kifurushi kipi cha masaa,wiki au siku...
Mheshimiwa Spika, kabla sijaingia kuchangia bajeti hii, nataka niseme kuwa naona
upinzani wamefikia pabaya sana, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM.
Chama kimefanya mengi sana,
maendeleo...
Kile kiumbe cha ajabu yaani simba wa vichwa viwili na macho ma 3, anaendelea kulivuruga pori zima safari hii ameonekana akiwakimbiza wanyama wakubwa kama tembo na kifaru anawakamata na kuwatafuna...
Kwako, shansarie....
Kupitia Kwa,
Mwenyekiti rasmi wa jukwaa
Baba V..
K. K.
Mwenyekiti wakujitakia,
manoah..
K.K
Ofisi ya ukaguzi..
ya mzee Aspirin..
K.K
Wanasheria wote...
TEST: How fast can you
fill the words?
1) S _ X
2) _ _ NDOM
3) F _ _ K
4) P _ N _ S
5) PU _ S _
6) BOO _ S
Now scroll down:
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
...
Thank u Allah for giving me another year of life
Thank u for all the experience of this past year
For times of success which will always be happy memories
For times of failure which reminded...