Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 492
Kuna ka video kanasambaa kama moto Wa gesi katika mitandao ya kijamii.. Ka video haka kana waonyesha wadada wa4 wakijirekodi Na kusifia kuwa ukawa kuna watoto wazuri..
Tafadhali kama ni wewe au una mjua yule aliyemalizia kwa kusema "Asa kumbe Nini" naomba niunganishe nae.
Kweli ukawa kuna watoto wazuri
Tafadhali kama ni wewe au una mjua yule aliyemalizia kwa kusema "Asa kumbe Nini" naomba niunganishe nae.
Kweli ukawa kuna watoto wazuri