Jinsi ya kuepuka sheria mpya ya mtandao

Jinsi ya kuepuka sheria mpya ya mtandao

Machine zao zina translate kila lugha jidanganyeni tu
 
Hivi wale wanaostream porn sites na kudownload movie au video za ngono hii sheria inawahusu??
 
Hahaha mnalooo! TcRA fanyeni kazi ! Angalieni sana location kwenye simu zenu
 
Ukitaka kukwepa kila unapopost kitu unaanza na kuwa nimeota...sheria haijasema kuhusu mtu kuota (njozi)
 
Mashikolomageni...Unene natogilwe makima madi madi gape ga madako matale gete gete. Bagosha!
 
Avaccm vanya luleho umwaha ugu mbaha vahege. Tovelage uwukawa
 
Hivi wale wanaostream porn sites na kudownload movie au video za ngono hii sheria inawahusu??

Hapo hujambugudhi mtu yoyote. Ni wewe na nafsi yako. Mbaya ukikitwa unaonesha hadharani. Au kuanza kusambaza kwa wengine kwa njia ya mtandao.
 
Back
Top Bottom