Kwa wale Wanafunzi tuliosoma Na kumaliza kidato cha NNE ktk Shule ya sekondari AZANIA ya Jijini Dar es salaam mwaka 1976 tutakuwa tunamfahamu Mwalimu Mama Kisanji.
Tunaomba yeyote anayejua alipo...
Tafadhali ndugu zangu anayejua lodge iliyo maeneo ya kiluvya. Anipe maelekezo ya haraka naomba msaada wenu. Chumba kuanzia elf 40 au hotel ya kuanzia 50
Kuna mtandao mmoja ambao nipo ila huwa members wakika mda mrefu hupewa kuwa maadmin bila kuangalia ana upeo gani kuhandle emotions, free expression kupitia saikolojia.
Kuna mmoja alikuwa wa...
Wakuu nisaidieni kutafsiri ndoto hii ni kwamba USIKU NIMEOTA NIPO MAREKANI PANDE ZA NEW YORK KWA KINA DIDY NA JAY Z.
Lakini ajabu kuja kushtuka kumbe ni hapa hapa bongo keko toroli.
Wakuu hii...
Salaaam wadau
Kesho mungu akiniamsha salama natarajia kwenda dar es salaam nikitokea moshi. Naomba mniambie ni bus za kampuni ipi ni borra na zinafika kwa wakati?
Naomba kuwasilisha
Wakuu,
Kuna haka katabia kaliokubuhu kwa baadhi ya wasichana masister duu! Na matozi mabrazameni kwa kweli inakera na kuchefua sana
Ni hii tabia ya masister na mabrazamen ya kunywa soda za...
Hili basi limenikumbusha siku naenda kumuona mama yangu mkubwa nikiwa na mfuko wa Marlboro nimewekea nguo zangu!na ndani ya mfuko niliwekewa na bibi karanga na mihogo ya kula njiani!
Kilometa 40...
Wakuu kesho asubuhi nina safari ya kuelekea Iringa kwa kutumia usafiri wa baiskel aina sports ambayo inaspidi sana kwa hiyo nina uhakika wa kukatiza Mikumi bila tatizo lolote ila sala zenu...
Katika dunia ya sasa kijana wa kiume au binti wa kike yuko teyari kuutoa uhai wake ili tu kupigania penzi wengine hulia hata usiku na mchana kama mwendawazimu lakini pia umasikini huwafanya vijana...
Wapo wanawake humu JF ni kiboko,wana midomo yenye shobo hatari,tena kwenye jukwaa la MMU na JLW ndio balaah.
Na hawa wafuatao ndio wanawake wenye kutumia maneno yasiokuwa na sitaha JF.
1. Madame...
Kuna Kauli ya #The Boss Humu huwa anasema Dont Take JF so Serious.. Yaani Kuna WanaJF humu huwa Naona Sometimes ni Sifa Utadhani huwa Hawana Shida na Maisha Kwao Ni Simple sana.... Ila. ukijua...
...Umuofia ba ndugu...
...Wanakeraaa sana !!!! Mtu Dume "mnazi" ana kazi na mshahara analipwa iweje kulazimisha kununuliwa bia na Dume ...niko na wife from no wapi ...Niletee bia ...tena kwa...
Nimegundua mbinu za mabinti wengi sasa ivi wamejipanga kutafuta wanaume zaidi ya mmoja ili kujihakikishia kupata fedha za kuvaa, kusuka vizuri kunywa pombe na matumizi mengine.
Hivyo mimi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.