Hakuna jambo linaloleta furaha na amani katika
maisha ya kimapenzi kama kumsoma mpenzi wako
na kujua mambo gani 'humdatisha' kisha
ukamtimizia.
Hicho ndicho ambacho kimewafanya baadhi ya
watu...
Kila ukimuuliza hobby yake anakwambia ana hobby
ya kuimba kwaya, mtu huyohuyo mlevi wa kutupwa..!!
anafahamu Gesti zote mjini kuliko anavyofahamu
Table ya 7.....Anakwambia I love kids so much...
VILE PENZI NAKUPENDA
VILE PENZI NAKUPENDA,KIKUKOSA NI GHADHABU.
NAJUA SIWEZI KONDA,JAPO NITAPATA TABU.
NITABAKI MEZA FUNDA,HUKU KIKOSA MAJIBU.
NAKUPENDA NAKUPENDA,WEWE NDIO WANGU MUHIBU.
KUNA...
daaaa unajua lazima mtu uongee unalofikiria siku zote kweli hawa viumbe ni hatari sana tena sana .anaweza kuchukia kisa yeye mwenyewe ....jana nimetoka job so kurud room ina harufu mbaya kuchek...
Kasheshe ni pale unapompa binti mzuri mjamzito lifti kwenye gari lako, halafu anazimia. Kasheshe zaidi ni pale baada ya kumkimbiza hospitali, anapewa matibabu na kujifungua na kudai aliyemleta...
Mkiwa wote anachati balaa...imetoka hii Whatsapp
KAIJIBU....Imeingia BBM ile KAIJIBU...Mara
Tango....Mara Telegram...Kidogo mara simu katoka
nje...Kama Opareta wa SPANCO. Simu anayo mkononi
masaa...
Kuna mdada nilimkopesha pesa kwa ahadi kuwa baada ya wiki moja atanirejeshea pesa zangu.
Baada ya wiki moja nampigia simu hapokei simu zangu, nimempigia zaidi ya mara kumi (10) bila ya mafanikio...
JAMAA AKIWA KAZINI GAFLA AKAPOKEA SIMU YA MKEWE
Mke:haloo mme wangu kuna jambo la umuhimu limetokea nyumbani njo haraka
Mume:nitakuja mke ,ila kuna dili la mamilioni nakamilisha
Mke:hili la...
Mtu kukulazimisha kwa lugha yake ya mwili ( body language ) umlipie Nauli na ni hasa hasa kwa Mabinti na Wanawake watu wazima kabisa.
Mtu amepanda daladala halafu bahati mbaya au sijui nzuri ile...
Habari wanjamii..naombeni msaada wenu,nasumbuliwa sana na hali ya kichefuchefu hususani nikiwa ndani ya daladala na baada ya kula,nimetumia dawa mbalimbali bila mafanikio,naombeni msaada..Mimi ni...
Kuna tangazo la Nyati Cement jamaa wanajaribu kuvunja UKUTA kwa mbinu zote wanashindwa. Ninahisi "very soon" hili tangazo litafungiwa kwauchochezi[emoji832][emoji779]
Nakumbuka sana miaka hiyo akina baba waliitisha kikao na kuunda kamati ya mapokezi kwenda Kumpokea pale Uwanja wa ndege. Ndugu wote walikuja dar nyumban kwetu kulijaa sana na pia nyumban kwa...
Jamaa mmoja alimwambia mkewe,leo tukumbushie enzi za uchumba wetu,wakakubaliana wakutane gesti saa 5asbh,jamaa akawa wa kwanza kufika alikaa mpaka saa12 jioni,dem hakutokea akarudi nyumbani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.