jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,226
- 2,902
JAMAA AKIWA KAZINI GAFLA AKAPOKEA SIMU YA MKEWE
Mke:haloo mme wangu kuna jambo la umuhimu limetokea nyumbani njo haraka
Mume:nitakuja mke ,ila kuna dili la mamilioni nakamilisha
Mke:hili la umuhimu zaidi kuliko hata hilo lako njo haraka bwana
JAMAA AKAOMBA RUKSA KWA BOSI WAKE
Mume:boss kuna dharura imetokea naomba ruksa niende nyumban mara moja
Boss:haya nenda ila hili dili hutolikuta tena
BAADA YA MUDA KAINGIA HOME
Mume:haya nambie mke wangu dili lako
Mke:baada ya maombi ya muda mrefu hatimae mungu ametujibu mume wangu
Mume:unaujauzito?
Mke:ingekua mimba hata nisingekusumbua ,yule panya baada ya maombi yetu kwa muda mrefu leo amefia jikoni kamtoe mimi namwogoka.
😀