STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
Mkiwa wote anachati balaa...imetoka hii Whatsapp
KAIJIBU....Imeingia BBM ile KAIJIBU...Mara
Tango....Mara Telegram...Kidogo mara simu katoka
nje...Kama Opareta wa SPANCO. Simu anayo mkononi
masaa yote..Utasikia, ''Excuse me Babe naomba nitoke
nje.niongee na simu ya mama nakuja sasa hivi''. DAKIKA 25 nzima...sa4 usiku..huyo mama
anamuelekeza kupika pilau au??
Chaajabu ukiwa haupo...Meseji anajibu kwa
kubeep...Ukituma anajibu after 20minutes...Ukipiga
haipokelewi..after nusu saa ndo utaambiwa''Simu
nliacha chumbani nlikuwa napika''wakati unamjua hata Uji hawezipika...Kuna type za kuacha simu
chumbani lakini sio huyo...Umeliwa baba..
WEWE NI POWERBANK TU