Kila ukimuuliza hobby yake anakwambia ana hobby
ya kuimba kwaya, mtu huyohuyo mlevi wa kutupwa..!!
anafahamu Gesti zote mjini kuliko anavyofahamu
Table ya 7.....Anakwambia I love kids so much
wakati ametoka kutoa Mimba ya 9 wiki 3 zilizopita..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.