kwani jw walisema wanaingia kitaa hao kwani ni kama polisi?
Hazina madhara kamwe hazitatumika labda tuvamiweha ha h ha ha ha kwa hizi ndege zilizopita leo kesho mbna ningekua wa kwanza kushika ufagio..
Haha nilidhani Na wao wanaruka sarakasi km polissmWalisema wanaingia kitaa kufanya usafi Kama sehem ya maadhimisho yao
Wanajua kazi yao ni kutulinda wala sio kubugudhi raiaHio ndio jwtz inaogopeka bila hata silaha