Nimefanya utafiti wangu kila kona ya Dar es salaam nimeona wazawa wengi wa hili jini wote ni mabandidu wasio na huruma na hawaogopi lolote juu ya swala la pesa, watu wakilala wakiamka wanawaza...
Wanaume wenzangu yani hawa wanawake wakikukosa sehemu ya mapenzi,pesa basi wanatumia vyeo vyao kutusurubisha.
Nilipataga mdada mmoja simple na haya yote na mlaumu athumani wangu wa chini kutawala...
Naona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
Kwema jamani?
Kuna tabia ninayo na naona kabisa imekua kama addiction yangu.kwa kifupi napenda sana kupiga chabo watu wakiwa faragha,yani huwa nafurahia kuwachungulia watu wakiwa...
Asilimia 90 ya wanama huwa wanadhani hamna kinywaji cha asili kinachoifikia mbege kwa hapa Tanzania mpaka siku wanapofanikiwa kuonja togwa.
Japokuwa togwa sio kinywaji namba moja kwa umaarufu...
Monday, November 29, 2010 3:43 AM
Mwizi wa nchini Japan ambaye kutokana na kufanya wizi kwa mwaka alikuwa akijiingizia kiasi cha pesa sawa na Tsh. Milioni 540 ametoa...
Tutasalimia muda mwingine hapa twende kwenye hoja. Miaka hii michache kumekuwa na wimbi kubwa la masingo mothers na team kataa ndoa
Tatizo liko wapi?
Tatizo hili hapa,
"nina bodaboda wangu"...
Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Heri ya mwaka mpya wanaJf.Ninaimani mmeupoea mwaka salama ninyi na wapendwa wenu salama.Kwa upande wangu ninamshukuru Mungu kwani amenichagua tena na si kwa kupenda kwangu bali ni katika mapenzi...
Wakuu ninaomba kwa wenye utaalamu wa hivi vitu wanijulishe nataka kifaa cha kuchomea nyama kipi ni bora kati ya hivyo hapo juu?
Kwaajili ya matumizi yangu binafsi ya nyumbani.
Halafu unaambiwa lazma wali uliwe (ufunge harusi).
Utaenda wapi?
Zingatia: Hakuna mambo ya NONE of the above (wala kataa ndoa haipo🚮🚮).
NB: Muda mwingine inabidi jichomoe akili kidogo, usiwe...
Najaribu kupita mtaa kwa mtaa, sioni zile pukurushani za mwezi wa kumi na mbili, zile shamra shamra za maandalizi ya sikukuu, nyimbo hazipigwi, sijui tatizo ni nini?
Ninachoona tu, ni wazazi...
Tajiri huwa haongei sana.
inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.