*Umexhawah kwenda kweny harusi halaf DJ akawa ana play mzki kwa saut ya juu sana halafu unaongea na rafik yako kwa saut ya juu vlevle ili akusikie mara DJ anazim mzik ghafl huku ww unapayuka...
Ushawahi kwenda kwa hoteli kunywa chai na chapati na uko na 1000 tu
Kidogo ukaanza kunywa unaona 1000 ingine chini unaikanyaga unaagiza tena chai na chapati
Ukamaliza ukaenda kulipa kumbe ile...
"All teams, do you copy? This is alpha one, I got visual on the package. I repeat, I got visual on the package. He is heading N-N-W just few clicks from the rendezvous point bearing 90°.Is the...
Mke ni kama chama cha siasa anahitaji vyama vya upinzani ili aimarike---
Mzee wa Upako [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetumiwa sms na bodi ya mikopo kuwa nadaiwa .wamenipa siku 30 nijisalimishe.
Nimewambia mbona sijasoma chuo kikuu wananambia mbona kila siku najiunga vifurushi vya chuo.dah
Naomba mnitajie sehemu ambazo wanaume wa kizungu au pia watoto wa kizungu wadogo wanapopendelea kwenda kuburudika kwa hapa dsm...
Kuna kabiashara flani hivi nataka nikafanye hayo maeneo,nitaleta...
Heshima Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake...
Naomba mnijibu swali la leo.
Hivi ""ADAM"" NA ""EVVA"" baada ya kujua kuwa wamekuwa MME na MKE: Je!
""ADAM"" alilipa mahari ?
Kama alilipa! alilipa kwa nani? Kama hakulipa wanaolipa mahari...
Mimi kati ya vitu ambavyo sitosahau ni pale nilipoenda mji mmoja hivi hapa nchini sasa bhana nikahisi barafu ni muwa nikanunua zile za kwenye kijiti badala ya kulamba mwenzio nikang'ata nusu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.