Hivi hii hali ikiendelea hivi baada ya miaka miwili itakuwaje?


salthanks

salthanks

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Messages
3,296
Points
2,000
Age
49
salthanks

salthanks

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2016
3,296 2,000
Hali gani mkuu?umetuacha njia panda kama sikosei umetuacha segera
 
Alpha M

Alpha M

Senior Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
165
Points
250
Age
25
Alpha M

Alpha M

Senior Member
Joined Nov 8, 2016
165 250
Hali si nzuri baba kikwete gombea tena tutakuchagua
Itafika wakati lazima hili suala litaingiliwa kati na wadau. Bodi ya wachumi sio wote wanaafikiana na ubanaji wa matumizi (momentary contraction). Tusubili uchumi ukidolola,budget ijayo ikiwa mbaya zaidi ya makadilio hapo ndio mwafaka utapatikana
 

Forum statistics

Threads 1,285,884
Members 494,778
Posts 30,877,540
Top