ASALAAM ALAYKUM MARAFIKI ZANGUNI TODAY IS MY HAPPY BIRTHDAY SIKU YANGU YA KUZALIWA NINAWAKARIBISHA KWANGU MULIOKO KARIBU NA MIMI. NA MULIO MBALI NA MIMI MUNIOMBEE DUA NINAWAPENDENI NYOTE ASANTENI...
Kwa muda mrefu sasa yapata mwaka mmoja nimefanya utafiti na nimejiridhisha baada ya kupata matokeo yaleyale kila ninaporudia kufanya utafiti wangu. Hii ndiyo list ya top ten yangu ya vitu...
Uzi special wa kufunga mwaka kushare kazi za ma photographers Kwa mwaka mzima
Uzi special wa kufunga mwaka kushare kazi za ma photographers Kwa mwaka mzima
Changia chochote na kuonyesha picha...
Hii tabia jamani sijui imetoka wapi, nimekuwa nikijiuliza ni yetu au tumeletewa na wazungu?
Yaani kwenye mziki iwe wa mduara au wa Taharab ni lazima ukute wanaume hawakauki kufwata nyuma nyuma...
Nakumbuka kipindi naendaga kuogelea na wenzangu nikishavua nguo naingia dimbwini na wenzangu sasa tunajifanya tunazama kumbe mle mle namshika mwenzangu namfanya dyu dyu[emoji85] wakati huo huo...
Pale unapomlipia mwanao karo ya shule ya mwaka kwa M-PESA ya Tsh 15,000,000 na kuletewa majibu haya
Ahsante kwa kujiunga na kifurushi cha voda-voda umepata dakika 350,000 /sms 750,000 na GB...
Wavuta bangi watatu wamevunja duka la dhahabu ili waibe,
Mmoja kachukua dhahabu, wa pili kachukua pesa , wa tatu kakaa dukani,
Mwenye duka kaja na polisi kufungua mlango wakamkuta jamaa kakaa mguu...
Pale unapolipia kodi ya nyumba kwa M-Pesa Tsh. 1,800,000/=.Kisha ukiwa umejipumzisha baada ya kumaliza kutuma hela kwa 'fazahausi', unapokea meseji ya uthibitisho:
Usiulize uchizi unaanzaje...
JAJI: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA:Lakini ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa!
JAJI:Hicho ni kithibiti tosha kabisa.
MTUHUMIWA:Basi nihukumiwe...
Unapoenda sehemu yoyote labda kwa uzuri na ubaya na ukifanikiwa kutoka eneo hilo ukiwa salama basi unashukuru sana , lakini hautakiwi uache mambo yale nyuma , kama mambo hayo ni zawadi kwa...
Aisee nimetoka kucheka sana muda uliopita
Nilikuwa kwa mangi nakunywa soda ya pepsi akaja msichana mmoja na rafikiyake ambaye ni mama kijacho
Sasa bhana huyu mama kijacho alikuwa anaogopa siku...