JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Haruc ishapita mwezi, Bwana na bb haruc wakawa wanataka kupata mtoto lakini hawajui tendo gani wafanye ili mimba itokee wakaenda kwa dokta!. Dokta akawapa picha waangalie, Wakadai hawaelewi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ilikuwa ni siku moja Kibaha na mimba ikatungwa sawia. Mama akaiba redio nikimwona, asubuhi akasema ni binti. Picha ikaletwa kimzaha, lakini hali ikabadilika ghafla sana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna mzee mmoja aliishi miaka mingi baada ya kujiona keshakua mzee akawaambia wanawe nitakapokufa mimi vunjeni hii nyumba nimeweka mali nyingi hpo chini Baada ya kufa watoto walivunja ile nyumba...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kuanza kusema ‘kinachofuata sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya marehemu tuliyemzika hapa leo, karibu ndugu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama ishara ya upendo wangu kwake, nimedhamiria siku ya kusherehekea kumbukumbu ya nchi yetu kupata Uhuru kwa kuelekea kagera ambapo pamoja na mambo mengine nitadhuru eneo maarufu ambalo...
1 Reactions
2 Replies
695 Views
*Msichana unamtembelea Mwanaume wako na Mkoba mkubwa umejaa vitu mbali mbali isipokuwa nauli. Kwann lakini??.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumechoka*
2 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
563 Views
Wanawake mlio ahidiwa mtaolewa mwaka huu zimebaki wiki tatu! Msije sema hamjakumbushwa. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
0 Reactions
0 Replies
964 Views
napita tu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za jioni nimekosa kuingalia hii isidingo kwa mwaka sasa. leo sasa nimeingaliaa, katlego kaenda wapi mbona linc ana babaika linapokuja swala la kat, brad na sam kuna nini mbona na rajesh...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unaruhusiwa kupendekeza majina manne tu, watakaotajwa zaidi ndio watakaopitishwa kwenye mchujo wa 16 bora. Anza sasa, mimi naanza na wafuatao: 1 Lady doctor 2 Chocs 3 AshaDii (No excuses...
14 Reactions
291 Replies
14K Views
- nguo za kubadili - pad ya emergence - chupi -mswaki - mafuta - perform, - chanuo, -hereni za kuvalia nguo aliyobeba, - lipsticks N.k But Hana nauli ya kurudia kwao Wadada eee
0 Reactions
1 Replies
583 Views
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Inasemekana eeetii mademu wengi humu JF ni wa uswazi, wakina Mwajuma Nikome. Hii inatokana na post zao na comments zao. Madem wa geti kali hawaijui JF wao wapo insta, fesibuku na twita. Miss...
2 Reactions
98 Replies
7K Views
[emoji12] [emoji2] [emoji2]
2 Reactions
2 Replies
1K Views
*mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 manzese hapa aniazime charger ya HUAWEI*...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom