Shukuru
JF-Expert Member
- Sep 3, 2007
- 748
- 15
JAJI: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA:Lakini ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa!
JAJI:Hicho ni kithibiti tosha kabisa.
MTUHUMIWA:Basi nihukumiwe kwa kosa la kubaka.
JAJI:Kumbe ulibaka pia?
MTUHUMIWA:Hapana ila hapa ninacho pia kifaa kinachotumika wakati wa kubaka akimaanisha[uume].
JAJI:Basi upo huru.
Kwi Kwi Kwi..