JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Sisi kama binadamu kuna vitu vingi tunapitia nakuwa na uzoefu katika vitu hivyo!, Navyo hutupelekea kubadilisha njia ama mtazamo juu ya kitu fulani je, wewe ni vitu gani hivyo vilikufanya ubadili...
8 Reactions
21 Replies
928 Views
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae. Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea. Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka. Natangaza rasmi...
35 Reactions
105 Replies
3K Views
Katika maisha nilikutana na bek3 wengi niliokula na sasa na umri huu yananitokea haya
1 Reactions
8 Replies
520 Views
Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja Tosamaganga au Galanosi, ukimkopesa pesa ndio...
25 Reactions
105 Replies
5K Views
Maisha Yana story ndefu, Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia. Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me...
12 Reactions
104 Replies
14K Views
Akirudi Tutamsema.....
2 Reactions
4 Replies
365 Views
---Nimesha tenda wema nimeumaliza, Kilicho baki sasa ni ubaya....... ( Saa nane usiku hiyo!) Bange, pombe zinawekwa kando, kila muhuni anamtupia jicho mnyonge wake, balaa tu.
9 Reactions
21 Replies
907 Views
You may think you are facing problem but the truth ia, you are the face of problems. People with personal face will understand it literally
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Wasalam wakuu. Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama.. I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje. Nimeshindwa hata...
38 Reactions
528 Replies
16K Views
Uongo upi unausikia mara kwa mara? au umesikia mwanamke au mwanaume anaambiwa au amekuambia. CC: uzuri_hatujuani Castle_Lite secretarybird 50thebe Poor Brain Khanji kapoor
7 Reactions
76 Replies
3K Views
Wakuu, Kwanini unatumia mtandao wa simu Ulio nao sasa? Ni criteria zipi zilikufanya Uchague namba ya simu ya mtandao fulani kama namba yako kuu? Je incase ume attain Popularity una handle vipi...
3 Reactions
9 Replies
577 Views
Asalaam Wakuu,, moja kwa moja Uzi tayari Tujikumbushe Ubabe na Uhuni wa Zamani Mashuleni,,Taja Watu walio Vuma na kutikisa kwa Majina, Miaka hiyo Ukiwa Skuli
0 Reactions
8 Replies
436 Views
Moja ya changamoto nillmezipitia ni kukaa na waswahili Nyumba za kupanga (Wanawake mbaya zaidi hawajasoma hawana Elimu . Kwanza wachafu Wambea Wanawivu Wana nguvu hasi (Negative energy) Kuhusu...
2 Reactions
7 Replies
428 Views
Karibuni tusheherekee pamoja siku hii muhimu kwangu wapendwa. Ninapokea zawadi kwa mikono miwili. Thank you 🫶🫶 😘😘 🥂🥂
17 Reactions
59 Replies
2K Views
Kuna jamaa hapa kijiweni kasema kama ulikuwa hauna unafuu kabla ya 2015, umebakia hivyo hivyo had hii sasa yan unaishi kwa mishe to mishe zisizoeleweka
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Salamu wanajukwaa. Popote ulipo Setfree unaombwa kurudi jukwaani ushushe elimu ya kiimani. Uwepo wako ndio mafanikio ya injili hapa JamiiAfrica. Wewe na mama mchungaji Donatila elimu yenu ni...
4 Reactions
26 Replies
956 Views
GT Watu wa Mkoa wa Mara na viunga vyake Mjiandae kwa ubwabwa, sato na sangara.
1 Reactions
6 Replies
416 Views
Niliwahi kwenda ghetto la mwana fulani nikakuta anapikia bunsen burner! Nilipigwa butwaa kucheki pembeni kitandani ametandika shuka la msd. Cc: Joanah | Mshangazi dot com | Intelligent...
22 Reactions
141 Replies
5K Views
Asanteni kwa majibu ya uzi wa jana, nimeona nakidhi vigezo vyote vilivyotajwa na napokea jina la “mshangazi”. Haya niambieni hawa vijana wa 2000 nao wana sifa zipi. Ambao mmeshapata uzoefu nao...
11 Reactions
190 Replies
6K Views
Back
Top Bottom