JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu. Kuna sehemu...
4 Reactions
14 Replies
550 Views
Huyu ndiyo Ibn Unuq aliyeshikilia maajabu yake kihistoria kwa miongo kadhaa mpaka akaingia kwenye viumbe wa kale wa ajabu. #1 Aliwahi kuikimbiza radi mpaka ikachoka na kuomba mapumziko. #3...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Nikasema wacha leo nijaribu kuwa mzungu nimwambie mama angu nampenda,. Kilichonipata Hawajai kuwa romanticπŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜‚
23 Reactions
126 Replies
3K Views
C&P Frank: Nesto Kwa Nini Mwanamke Yule Ananitazama Hivi? Nesto:mwanamke Yupi? Frank:yule Pale Kavaa Gauni Ya Bluu. Nestor:usimtazame Kamwe achana nae. Baada Ya Dakika Chache Frank Akasema...
7 Reactions
8 Replies
390 Views
The caski...pale rock mall[raha ya pale kuna vicheche wakutosha, pia unaweza kupiga mzigo kwenye gari pale parking]tatizo wa hudumu wapale ni mazombi sana unaweza kuangiza bia au chakula ukakaa...
3 Reactions
28 Replies
14K Views
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa injili ya Yesu Kristo iletayo wokovu! Katika mishemishe zangu mara nyingi naungaunga na usafiri wa mwendo kasi katika moja ya stendi zenye watu wengi hapa Dar...
1 Reactions
1 Replies
310 Views
Kuna hii tabia ya hivi viemolo kupenda show off mbele ya wapenzi/wake zao pindi vinapokua viko karibu na sisi wanaume warefu,hapa hotel nilipo kuna kimoja kimeingia na sijui mke au mpenzi wake...
11 Reactions
33 Replies
1K Views
Kama mjuavyo utundu wa watoto kuchezea simu Juzi kati kaka shika kiswaswadu changu anacheza game Na fikiri aliingia pia upande wa kuseti tarehe na mwaka Akaseti mwa 2099 Massage zilivyo ingia...
1 Reactions
2 Replies
368 Views
6 Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopochorts yake, 7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula.a Atakuambia, "Kula, kunywa!" lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe. 8 Utatapika...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu?... Moja kwa moja kwenye mada. Hebu tufunguke hapa majina yetu yakificho hapa jukwaani Yana maana gani. Mimi jina langu TANO BORA nikwasababu siku najisajili Jamiiforum ndo siku...
15 Reactions
203 Replies
6K Views
Wewe umejuaje ni nyingi,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shauri yako na wakati huu mtakondeana kama mshumaa kwa maana USAID wamed*nda hawatoi mavidonge ya bure
2 Reactions
4 Replies
341 Views
Nini kinakulazimisha kuwa kama ulivyo? Tofauti na ulivyo?
4 Reactions
18 Replies
541 Views
Mnawapa stress dada zetu kwa statement za aina hii mnafanya waanze kufakamia chakula kutafuta unene wengine wanafika mbali mpaka kutumia dawa za kuongeza mwili wakati kina Babamorgan ni wadau...
2 Reactions
3 Replies
388 Views
Maisha ya zamani ilikuwa raha tupu:- ''Ingia bandani kamata kuku wawili tuchinje'' ''Ingia shambani vunja mahindi tuje tuchome'' ''Chemsha kahawa hapo jikoni ulete tunywe huku ukinihabarisha...
5 Reactions
29 Replies
908 Views
Kesho kutwa nina safari ya kwenda Shirati mkoa wa Mara, wakati wa kurudi nitapita Mwanza kwa mapumziko ya siku mbili. Kipindi cha nyuma Villa Park na Dv8 zilikuwa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯. Kwa wana Mwanza ni kiwanja...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
#Roadlife. Tuikemee vikali tabia ya baadhi ya madereva na hasa wa malori ya kunywa juice au soda halafu hawamalizii kisha kutupa hizo chupa zikiwa na juice au soda ndani yake,hii tabia si nzuri...
2 Reactions
12 Replies
402 Views
Ilikuwa saa tatu usiku, nakumbuka nilikuwa room nimechill kisha nikaamua niende nje nijiburudishe kidogo. muda huo wazazi walikuwepo sebuleni wakitazama TV, hivyo nilipaswa kuwa mwepesi, nitoke...
7 Reactions
4 Replies
392 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…