Habari za weekend wanaJF
Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia...
Kwa kipindi kirefu kumekua na tuhuma mbali mbali zikimhusu nguli wa bongofleva Nasib Abdul aka Daimondo aka Ndomo. Kutokana na hali hii niliamua kufanya utafiti wangu wa kina ili kujua ukweli wa...
Kwa kazi nzuri iliyotukuka ya kuwatoa watoto wetu ujinga,mwanafunzi wake mmoja huko mikoa ya kusini ameona amkumbuke Kwa njia hii
Mwanafunzi huyo ambaye ameajiriwa mwaka huu hapa Katavi wilaya ya...
ONYO:kuwa katika uhusiano na mwanafunzi wa shule ya msingi na sekondari ni kosa kisheria na kwa usawa huu wa magufuli unaweza kwenda jela miaka thelathini please do it at your own risk.
Mapenzi...
Nakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana.
Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco...
Nyie mie jamani nampenda huyu baba. Nampenda sana. Kuna mda nikimuangalia tu nawashwa. Amefanyika neema na baraka sana kwenye maisha yangu.
Vipi wewe uliyenaye unampenda? Je ni baraka kwako?au...
Habari za muda huu wanajamvi!
Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama...
Miss Natafuta Na Sky Eclat wanaujua muziki wangu PM.
Baada ya kupigwa kibuti Na Mamndenyi nilipagawa kabisa, hasira zangu nukazihamishia PM kusakasaka penzi jipya.
HR 666 njoo let us share the...
Binafsi nikiwa kama mwana Dunia pia nilifurahishwa nae zaidi alipokuwa akiongea kwa Kulegeza Sauti mwishoni.
ANGALIZO
Kabla ya Kuchangia huu Uzi nashauri Kwanza uangalie hapo juu upo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.