JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Zamani mimi nilikuwa najua manesi wanaolewa na madokta baadae wanakuja kuzaa wagonjwa. Wadau hamjamboni nyote? Read somewhere, laughed loudly, glad I was alone.
6 Reactions
12 Replies
606 Views
Kwanini usipooa/olewa ni ngumu kupata chumba cha kupanga? Lakini sio chumba tu; hata nyumba, ajira, na heshima?
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Ndugu yangu Lucas Mwashambwa kapatwa na nini siku hizi? Zamani alikuwa anaandika mabandiko mareefu yenye ucheshi ndani yake na alikuwa anawajibu watu kwa ucheshi vile vile. Lakini siku za hivi...
16 Reactions
71 Replies
2K Views
Katika kajitafiti kangu kafupi nimegundua kuwa hakuna kabila inapenda kula mzigo kama wanyiramba awe wa kike awe wa kiume kazi ni ile ile halafu kwa kuzaa watoto holela, unakuta kila mtoto ana...
2 Reactions
14 Replies
18K Views
Nipo Las Vegas hapa USA kama kuna mtu yupo karibu please tuwasiliane maana nipo tu bored. kulikuwa na kikao tumemaliza toka Jumamosi so nikaona nikae kae kidogo kuonana na jamaa zangu. bahati...
21 Reactions
29 Replies
2K Views
Historia na maandiko yanasema kwamba Sodoma na Gomola ni miji iliyokuwa ina fanya mabalaa kibao, kinyaa kibao, ushenzi kibao... Yaani mpaka ikafikia miji hiyo kuangamizwa Ila nionavyo mimi..kwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hakika wewe ni kila kitu katika maisha yangu Bila wewe siwezi kuishi Siwezi kupumua na nitakufa maramoja...hakika NAKUPENDA SANA PUA YANGU.
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Hili jukwaa liliwahi kuwa kama familia kabisa. Leo kwa msaada wa AI chatgpt. Nimekusanya baadhi ya matoleo yaliowahi kuwika hapa jukwaani. Moja ya waandishi wakongwe wa Udaku ni mimi mwenyewe...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Mlipa kifurushi umemlia buyu jmn nakimeisha naona leo nakula jeuri yangu haki ya kweli jeuri kwishaaa
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Baada ya kupotea kidgo na kukuta kuna ka mtindo ka kutoa list sasa nmeamua kuja na list ya wanawake wenye mvuto humu ndani Ambao kila mwanaume anatamani kuwa nao hawa wafuatao ni warembo haswa hii...
7 Reactions
276 Replies
16K Views
Mimi sijui nina matatizo au ni akili yangu imeamua kupiga mbizi bila kujua kina cha bahari, hata kuna siku nilikuwa nikimuadithia swahiba wangu alibaki kunicheka, nikuhusu ndoto zangu Kila...
3 Reactions
3 Replies
269 Views
Wakuu naomba kujua ama kuelekezwa Niko Morogoro wapi wanauza Chakula kizuri nakitamu,kama ilivyo migahawa ya wasomali
0 Reactions
2 Replies
285 Views
Taja member wawili ambao unahisi ni Ndugu humu? Binafsi ndege JOHN na Viatu vya Samaki hawa ni ndugu wa tumbo moja kasoro tarehe tu. CC Zero IQ
11 Reactions
332 Replies
15K Views
Wakuu Huyu member ananivutia kwa kweli,mada zake,namna ya uwasilishaji wa topic zake unanivutia,ni moja ya wadada wa nguvu mno humu jukwaani Nakupenda sana Binti Sayuni03 naomba tutafutane pm...
9 Reactions
77 Replies
2K Views
Asilimia 97 ya walio tumia sabuni hii wana kesi ya kujibu siku ya hukumu, nawakumbusha kutubu ile dhambi waliyo itenda. Kama hujaelewa basi.
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Jaman tatizo langu sielew...mwenzenu toka yaanze maswala ya vyeti na mambo ya kutena mm kwangu imekuwa tofauti yani kila kisikia wakiongea habari za siasa uume wangu unasimama ni saidie jaman...yn...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kuna mda ukikaa unajikuta kama umepoteza mwelekeo,, unapoteza interest ya vitu alafu unajikuta huelewi maisha ako yanaendaje 😞
11 Reactions
55 Replies
2K Views
Leteni mnazozijua nyinyi ila mimi naomba maana ya hizi nyimbo mbili. Kuna - Diamond platnumz na Kachiri - kilimanjaro Band Mashairi ya wimbo ya Diamond : Jamani kuna kijiti kimoja kwa jina...
8 Reactions
210 Replies
4K Views
Mzuka wana Jamvi ? Yerereeeeeerreereerreereyere!!! Sijitaji maelezo mengi picha inajieleza , nataka maoni yako unaonaje ? Oyo : Sitaki Wadada wa Jf msinitafute PM , Mimi nipo kwenye No Fap...
15 Reactions
61 Replies
2K Views
Dah hatari kweli......!!!!!!!!!!!! Hatari na nusu....
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…