JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Halafu ni wale wa kienyeji
3 Reactions
14 Replies
492 Views
Wamefanya kosa moja tu la kiufundi, shoo kama hizi hazihitaji VIJIKO,
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Itambue Namba Iliyofichwa Katika Vyumba Hivyo. ‘Karibu kwenye Macho Makali Challenge!’ ‘Anatafutwa mtu mwenye macho makali zaidi!’ ‘Kwenye picha hii kuna jedwali lenye vyumba 16…’ ‘Namba moja...
1 Reactions
0 Replies
168 Views
Nawakubali tu kwakuwa wametufundisha Somo kubwa na muhimu sana la MAISHA HAYANA MWENYEWE TUSIJISAHAU.
2 Reactions
7 Replies
316 Views
INANIFIKIRISHA SANA NITOKE AU NISUBIRIE NIFWATE MAGETONI😔
1 Reactions
2 Replies
190 Views
Ni mara yangu ya pili kufika Pyangyong ! Ni kazi zetu hizi hizi ambazo Kwa manufaa ya wengi si vema kuzisema sema! Mwaka 2017 nilienda Korea kaskazini na nikakuta mashart magumu sana ambayo Kwa...
18 Reactions
104 Replies
10K Views
Habari Tanzania ! Unajua Mkoa wa Kigoma ni eneo linalopendwa sana hapa nchini licha ya kuwa na maendeleo vidocho ila unapendwa sana na hata watu wake ni wema sana. Ila sasa Kigoma muache...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Wakuu natumai wote ni wazima. Kama upo hai na mzima wa afya, wewe kama member wa JF pita hapa ucomment chochote tujue bado upo nasi. Teko Modise nipoooo
14 Reactions
93 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Nimetimiza ndoto yangu ya muda mrefu sana ya kuwa mwandishi wa vitabu. Katika vitabu vitatu nilivyoviandika nimeshawishika ku release kitabu kimoja cha “Namna bora ya kuwa...
26 Reactions
72 Replies
2K Views
Jf Chemusha Bongo.. Baadhi Ya Chemusha Bongo Ni kama Ifuatavyo....
3 Reactions
6 Replies
324 Views
Tajiri wa roho, mjasiriamali na msanii Nguli Shishi baby amefikisha utajiri wa Wastani wa TSH. 3.9 Trilioni kupitia record label, endorsement na assets alizo nazo Dar, Dodoma,Venice, London, Paris...
28 Reactions
151 Replies
9K Views
Hawa ChatGPT samtaim nawaona kama maroboti yenye upweke kama sisi pia. Wanaume tumeshapata mkombozi wa kuchat nae na kunitoa upweke.
19 Reactions
87 Replies
3K Views
Kuna Mwanangu alikuwa anaitwa maro, alikuwa baada ya kuangusha divi chooni🤣 anachukua kijiti anaandika ukuta ndani ya choo na nje, machata unakuta mengi mengi ya Wana wa shule, Ukiiingia toilet...
1 Reactions
9 Replies
355 Views
Nasikia kimara imebadilishwa jina kutokana na matukio yaliyotokea hivi mnaiitaje kwa sasa ?
1 Reactions
9 Replies
345 Views
Huu wimbo siku yaja na i karibu utapigwa na kila mtu ataucheza
2 Reactions
5 Replies
381 Views
Kila mtu ana njia yake ya kufuta kumbukumbu zenye maumivu. Unaweza kulia, kuwasiliana na ndugu au rafiki wa karibu ambaye ni msikivu na anaelewa hisia zako zaidi, kukaa kimya katika eneo peke...
3 Reactions
20 Replies
452 Views
Hey people, Happy weekend Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako? Ile moja ambayo deep down unajua huyu ni wewe,bila kujali maoni ya wanaokufahamu Mimi deep down najijua ni...
36 Reactions
482 Replies
12K Views
Nadhani kuna uzi humu ulikuwa unaelezea kero zinazopatikana katika nyumba za kupanga, mimi kiukweli kero ndogondogo huwa nazitatua mwenyewe ndio maana ule uzi nilikuwa naupitia juu juu tu, ila...
27 Reactions
267 Replies
9K Views
1. Kilimanjaro 2. Kagera 3. Tanga 4. Dodoma 5. Lindi 6. Mtwara 7. Mara 8. Kigoma 9. Singida 10. Simiyu
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Mwachiluwi ebu njoo uwachanganye wadogo zako Kuna mtu atasema ni majani ya chai Kuna mtu atasema hii thermos Kuna mtu atasema hili ni bomu la hamas Kuna mtu atasema hii ni nyuzi za...
24 Reactions
206 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…