Heri ya mwaka mpya ndugu zangu.Natumaini mmeuanza mwaka salama kwa baraka zake MUNGU mwenyezi.
Nimeona sio mbaya niki share baadhinya nyimbo katika PLAYLIST yangu ya kila siku.
Unaweza kuokota...
Me naanza
1. Xaxa, vp, p, xkul
Hapo Huwa sijibu tena
2. Kuniita boss
Unaniitaje boss wakati sikulipi, hapo najua ni fala
3 Ela za UNICEF umeziona
Hapo sijibu najua hili si fala tu Bali farasi
4...
Jabari zenu wanaJF wenzangu,
Ombi langu kwa mwanaJF mwenzetu hapa jukwaani ndugu Erythrocyte . Mkuu mbona umekuwa kimya sana tofauti na siku za nyuma, tatizo ni nini?
Hebu tuambie kamanda kama...
Anasema bado ajira ni tatizo mtaani licha ya matangazo mengi ya nafasi za kazi.
Bado mashoga wanapigania haki zao kama haki zingine.
Bado watu wananunua upendo, toa pesa upate penzi.
Bado...
Wakuu,
Kama ulikula spana 2024 jirekebishe, acha uchawa, ukupe na umaandazi :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Ukibisha utakula spana tuπΉπΉ.
Happy New Year watu wazuri wa JF, wengine...
Zikiwa zimebaki dakika chache kuuaga mwaka 2024 na kuukaribisha 2025.
Em tumbie mdau wa Jf 2025 unaupokea ukiwa wapi?
Kwa upande wangu huu mwaka nitaupokea nikiwa kwenye basi kutokea Musoma...
Cha kwanza nimeweka mafuta ya 70000 tu yametoka marangu mtoni hadi Dar na bawa 2 zimebaki kwenye geji
V8,Cruiser mkonge tu ndio zilininyanyasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale...
Merry Christmas and happy new year,
Hao watu niliowa mention hapo juu Pascal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga nawatakia heri ya fanaka katika sikukuuu hizi za mwisho wa mwaka naomba mungu...
Nina list ndefu.
Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like.
2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE...
Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari..
Location Gongo la mboto...
Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu..
Nakuja na vitendea kazi vyangu
Kama Kijiko
Ndizi...