Wakuu
Yaani salamu za shikamoo zimekuwa nyingi sana, wakati nikijiangalia kwenye kioo bado najiona Handsome.
Ni mnyamwezi fulani hv najipenda muda wote nanukia, kipato si haba. Nina O moja...
1.Huyu jamaa ni member mwenye kisebengo kuliko wote humu Jf
2.mada zake ni za kitoto hazina mantinki
3. Anapenda sifa kama harmorapa na nahisi ni ndugu take
Ushauri nirkuwa naomba kwa wale...
Happy born day Bro HR 666 Mungu akujalie maisha marefu wewe na shemu langu Shunie
[emoji148] [emoji145] [emoji149] hii zawadi yako mkuu [emoji154] na hii suti ni kwa ajili ya harusi yenu wewe na...
Haya maisha ya kukaa hostel yamenishinda kwa kweli ,haiwezekani haipiti siku tatu bila kupigwa exile
Kila siku mimi nimekuwa mtu wa kulala nje na kuliwa na mbu tu nimechoka kwa kweli enough is...
Hivi siku ukapata bahati ya kuonana na mwana JF machachali anayejulikana kama HR 666 utamwambia kitu gani ambacho ulikuwa unashindwa kumwambia humu jukwaani?
Leo nataka nione watu wananifahamu au kwenye akili zao wanahisi mimi nipo vipi
Sasa basi leo nataka nitoe kitita cha sh laki 5 kwa ambaye atapatia kuhusu muonekano wangu ,haya sasa twende kazi...
Wakuu lengo la kuanzisha uzi huu ni kwaajili ya kuwachana member wa jamii forum,si kwa ubaya tu bali hata kwa mazuri,,,
najua hili jukwaa ni chuo tosha,kwani tunakutana watu kaliba...
Siku zote hapa duniani watu wakiwa hai huwa hawapewi sifa zao stahiki mpaka pale wanapofariki ndio umuhimu wao unapoonekana
Sasa tuje kwenye mada kuu,hivi siku nikifariki utanikumbuka kwa lipi...
Tunaweza kudhani ni coincidence lakini kuna vitu vilo kiroho zaidi
Mtandao wa Tigo ulipata umaarufu hasi baada ya kubadili jina lake la zamani la Buzz lililotoka kubadilisha na Mobitel
Tigo...
Hivi pale G7 ni Tabata au malamba wakuu.
Nilipotea njia pale asee vijana wanatafuta hela Kwa shida alafu zinaenda kuisha kizembe.
Nimeagiza Redbull wanauza elfu 6. Mana Sasa hivi sio mnywaji wa...
Dah...Leo nimegonga mvua 70 na ushee...Nilipotoka ni mbali sana..niliyoyafanya ni machache sana ...ninapokwenda ni karibu lakini nina mengi ya kufanya...muda hautoshi...kichwa kinapata...
Sijawahi badilisha hio ni kama id yangu huku porini kama member utanitambua kwa hivo.
Je wewe unapandelea ringtone gani au mlio gani kwenye simu yako?
I love weeds!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.