JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ndugu zangu nimetua salama Beijing. Hakika ni furaha iliyoje
7 Reactions
19 Replies
918 Views
1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers. 2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Hapa wana mazingira wanaona madhara ya matumizi ya chakula chenye makeni ambacho sasa kinakimbiliwa na wanyama. Wahuni wanaona panya mwizi. Waporini wanaona nyama Na ma legend wa IT wanaona...
3 Reactions
5 Replies
370 Views
Huu ni uzi maalumu wa majibu ya kisenzi ya xavier
3 Reactions
10 Replies
451 Views
Huyu bata pichani hapa chini anajifanya yeye ndo yeye kama baadhi mishangazi ijifanyavyo humu JF. Unadhani huyu bata anasadifu tabia ya mshangazi gani humu. Binafsi naona huyu bata kakopi na...
13 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya Walipokuja walitambulishwa na sura zao kila mmoja akazishika ila ilipofika asubuhi hali ikawa...
3 Reactions
2 Replies
313 Views
Wakuu Merry Christmas kwenu Siku ya kwanza wewe kusikia jina KIBAKA ulikuwa unafikiria nini??🤔🤔😅😅 Kwangu Mimi nilikuwa najua ni wazee wa kubaka tu😅 yaani wao wakikukuta kwenye 18 zao hamna...
3 Reactions
6 Replies
431 Views
Maini, mabandama figo na ndugu zao wote leo wajiandae vema kuupokea huu mzigo hevi😂
13 Reactions
21 Replies
740 Views
wakuu siwelewei nifanyeje niko sehemu mtu ananiangalia sana simuelewi wakuu halafu n mdada mzuri lakni
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Jana nimeanza kulewa immediately nimetoka kazini. Nikapiga pafu Kama mbili za whiskey 🥃. Shot matata nikaluka home. Nikawaka nikaludi kulewa by Saa 6 nipo chali. My mistake siku nunua Maji as I...
2 Reactions
12 Replies
569 Views
Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24 Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
1 Reactions
9 Replies
419 Views
Nimependa sana some strategies zinazotumiwa na wahuni kuishi. Asee wahuni wana balaa sana, some tips natohoa kwao ili nipate kitu perfect mwakani. Mbinu kubwa ya utajiri ni ubahili, minimize...
10 Reactions
55 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Naomba kujua route rahisi kutoka Kigamboni to Kunduchi
1 Reactions
3 Replies
286 Views
Hawa jamaa wanahitaji pongezi kwa namna wanaaenda kwao kurudisha kilichopatikana pamoja na kujiweka tayari kwa kuingia mwaka mwingine. Hakika kwa misafara ya magari yanayoelekea Kaskakazini...
0 Reactions
2 Replies
357 Views
Nipo Dodoma napenda kuwafahamu wanajf mliopo huu mkoa? Ikiwezekana siku tukutane
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu wana JF, nilikua naomba msaada wa yeyote anaeweza kunisaidia kupata nakala ya kitambulisho cha taifa
2 Reactions
2 Replies
457 Views
Naombeni kunitajia hotel nzurii na mpya za hivi karibuni hapa Dar es Salaam bei iwe affordable na sehemu iwe imetulia nawakilisha.
3 Reactions
21 Replies
2K Views
NI UTANI TU 😂😂 Kama umeona umri unakutupa mkono,na unatamani kurudisha miaka nyuma, Hemu Nenda hapo Ethiopia huko saivi ni 2017 Eti kadi yako ya bank unaambiwa umeweka namba ya siri,halafu ni...
2 Reactions
1 Replies
453 Views
Hello my friend's Hivi ni WhatsApp yangu tu ambayo leo haitumi text wala kupokea ujumbe? Mwanzo ilifunguka text zikaingia shida ikawa kujibu ukijibu inapotea ewani now haifunguki shida nini...
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Back
Top Bottom