Hawa jamaa wanahitaji pongezi kwa namna wanaaenda kwao kurudisha kilichopatikana pamoja na kujiweka tayari kwa kuingia mwaka mwingine.
Hakika kwa misafara ya magari yanayoelekea Kaskakazini...
NI UTANI TU 😂😂
Kama umeona umri unakutupa mkono,na unatamani kurudisha miaka nyuma,
Hemu Nenda hapo Ethiopia huko saivi ni 2017
Eti kadi yako ya bank unaambiwa umeweka namba ya siri,halafu ni...
Hello my friend's
Hivi ni WhatsApp yangu tu ambayo leo haitumi text wala kupokea ujumbe? Mwanzo ilifunguka text zikaingia shida ikawa kujibu ukijibu inapotea ewani now haifunguki shida nini...
Sato mkubwa mwenye kilo 3 abanikwe naviungo na chumvi ya wastani mpaka akauke vizuri, halafu atengwe kwenye meza ya Dr Janabi na kaugali kadogo kama ngumi, pilipili iwepembeni iliyotengenezwa kwa...
Jamani mwaka jana mwez wa 5 nilifanikiwa kupata mpenzi ambaye ni mzuri sijawah ona. Alikuwa Anagombaniwa na kila mtu mtaani. Alikuwa Ananipenda sana, tulikubaliana tutaoana.Alikuwa ni mgeni mtaa...
Wanazuoni na walioboboa kwenye uchumi hapa naishije Kwa siku
Nikiwa na buku 3 na ramani zimegoma
Hapo iwepo breakfast, lunch na dinner na nitambe kwa mtaa
Naomba ushauri wa kina, me ni...
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wiki kadhaa sasa nimekuwa nikifanya mazoezi ya kunena kwa lugha na nimeshaanza kuweka stock ya mafuta ambayo yatakuwa ya upako nitapomaliza kuyaombea.
Hii...
Kama wewe ni mkazi wa maeneo ya Goba Njia Nne au karibu na maeneo hayo, lazima utakuwa unaijua hii night club iliyopo njia ya Madale kwenye huu mteremko mbele kidogo ya stendi ya bajaj za Madale...
Zunguka kote!
Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume!
Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.