JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Merry Christmas and happy new year, Hao watu niliowa mention hapo juu Pascal Mayala, Lumumbashi na Gaganiga nawatakia heri ya fanaka katika sikukuuu hizi za mwisho wa mwaka naomba mungu...
1 Reactions
3 Replies
641 Views
Nina list ndefu. Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like. 2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE...
3 Reactions
18 Replies
690 Views
Yoyote yule ambaye yupo tayari kutoa mwaliko Mimi nipo tayari.. Location Gongo la mboto... Nafika sehemu yoyote ile ndani ya jiji la dasalamu.. Nakuja na vitendea kazi vyangu Kama Kijiko Ndizi...
21 Reactions
260 Replies
6K Views
Na ukae ukijua leo ndio.mara ya mwisho kuja club na wewe, Ni namna gani uliwahi pata aibu na kujuta kwenda club na rafiki yako au rafiki yenu.
3 Reactions
13 Replies
596 Views
Wanasemaga kambi popote Kuna watu hawawezi kuishi hata siku mbili tu maeneo yaliyopinda, wanaogopa wahuni na vibaka, sijui panya road Nishawahi kuishi Dar nikiwa na familia yangu huko Mbagala na...
29 Reactions
199 Replies
6K Views
nimekunywa pombe Jana usiku hadi muda huu. nimelewa can some one help?? I have tried drinking alot of water. I took soup in the morning. I still feel drunk.
11 Reactions
50 Replies
2K Views
Je kuna watu kabisa katika maisha yao hawajawahi kupanda boda ?
4 Reactions
12 Replies
409 Views
Ni bia pendwa kwa sasa. Out of nowhere yule mpinzani mkuu anapotea . Ingia pub yeyote... Whatever bar Kilimanharo trends... Thread! What's ur feeling!??
7 Reactions
53 Replies
3K Views
wakuu kwema ..? jana nmerudi zangu magetoni usiku mwingi nikakuta hawa wajusi wajomba wako 2 sijui wametoka wapi msaada sijalal magetoni leo nmerudi nmewakuta chini wanacheza hawana hata habari...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Tujuzane sehem mbalimbali ambazo baadhi mwapendelea kwenda ku refresh kidogo katika Weeknds ama ata pia Weekdays, Pengine tunaweza kujumuika siku moja moja. Mimi kwa upande wangu napenda...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu zangu huku tukisubiria mwaka mpa tutumie huu uzi kujuzana maneno ya wakosaji, yaani yale maneno wanayotumia wasionacho kujifariji wakiowaona wenye nacho. Mimi nitaanza na haya. "Kwani IST...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora...
19 Reactions
78 Replies
3K Views
Mimi kiingereza sijui vizuri. Ila nasikia kwa 80% na nikisoma naelewa kwa 85% Tupia maneno ya kuchambana hapa kwa lugha ya kiingereza. Nimeweka hapa hii sababu nimemsikia mtangazaji wa kiliFm...
3 Reactions
12 Replies
647 Views
Chombezo : Biringanya La Mwalimu Sehemu Ya : Kwanza (1) 2 Apr IMEANDIKWA NA: UNKNOWN ********** Siku Ziliendelea kukatika kwa kasi Sana Si unajua tena siku hazigandi.. Hatimaye , Graduu...
6 Reactions
235 Replies
51K Views
Napenda kuwajulisha kuwa, katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya, tarehe 31 nitachoma nyama ya mbuzi nyumbani pamoja na familia yetu. Pia kutakuwa na cocktails pamoja na vinywaji mbalimbali...
8 Reactions
25 Replies
880 Views
Kwanza tambua wewe ni mtu mzima na ushavuka 18yrs kama bado basi umeenda tofauti na ulivofundishwa biology secondary na bado hujafika 18 Kubaliana na litakalotokea huna wa kumlaumu mambo ya gono...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Msomi huyu wa mzumbe kasoma pale na kupata elimu yake mzumbe alicho jifunza ni hiki ambacho ana kifanya leo kwenye macho ya watu Mwijaku siku akiambiliwa alambe mwiko sifikiri kama atajiuliza sana...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
MERRY CHRISTMASS & HAPPY NEW YEAR JF Ikiwa ndio leo siku ya kwanza ya msimu rasmi wa sikukuu wa mwaka 2024~2025. Sina budi kwanza kumshukuru Mungu kwa niaba ya wote wataouona ujumbe huu. Pia...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya avatar nilikuwa naziangaliaga juu juu lakini baada ya kuzifungua nilizielewa vizuri mfano avatar ya Tindo huyu yeye ameweka kifaa cha ujenzi mimi siku zote nilikuwa sielewi mpaka...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…