JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*MADEM KWA SIFA..* *kuumwa aumwe yeye lakn kujifanya anajali sana bas utamskia BABY KARIBU TUMEZE DAWA [emoji23][emoji23][emoji23]* Ujinga tu[emoji276][emoji276][emoji124]
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Teacher: can anyone name three kings that brought happiness and peace to earth ?? Snipes: drin-king, smo-king and fuc-king #WapostPumba
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu nianze kunyanyua vyuma sijawahi kuchokozwa so nimeamua kuutafuta ugomvi.Mara ya mwisho kupigana nilipigana na kuku mwenye vifaranga enzi za utoto mpaka leo sijapigana tena.Nime-miss...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
pale unapomaliza kuongea na simu usipende kuwa wa kwanza kukata simu kwa sababu kuna matusi ambayo unatukanwa ila kwa kiherehere chako unawahi kukata, unakuta mtu anakuambia, huyu fala kakosa watu...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini wanajf.poleni na mvua aise kwa wakazi wa CALL ME J plz.maana kitu kinapiga mdogomdogo flani hvi yani fulu burudani. Ngoja niende kwenye mada moja kwa zote Angalau furah ya kutumia...
4 Reactions
60 Replies
4K Views
Leo nilikuwa nafanya data analyais, nikasema ngoja niangalie hawa members wenye most likes wana michango gani? Nilishangaa kuona kati ya member kumi wenye most likes, nane ni makapuku. Na...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
imegundulika rasmi Korea kusini wameungana na Arsenal wakutane na Rihanna atembee na rais wa kwanza wa marekani aliyekuwa anamiliki kampuni mbili London katika kisiwa cha Zanzibar alikuwa na baba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
She came home early and found her husband in their bedroom making love to a very attractive young woman. The wife was VERY upset! "You are a disrespectful pig!" she cried. "How dare you do this to...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Ukikutwa unatembea na mwanafunzi miaka 30 jela, sasa najiuliza Ukikutwa unakimbia nae itakuwa miaka mingap?? mwenye jibu tafadhali nijuze
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Tangazo tangazo tangazo Kama una ndugu yeyote au wewe umemaliza chuo na huna kazi ? Wooote kwa pamoja Nawapa hi!!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ukifungua whatsapp ajali ukifungua facebook ajali ukifungua jf ajali ukifungua tv ajali sasa hivi nipo toilet naogopa hata kufungua zip #WapostPumba
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Utakuta Mama mwenye nyumba anajipodoa na kioo kilivyo hakidanganyi Kweli anapodoka Anashinda saloon kujipodoa Style tofaut za urembo wa nywele, Lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini...
2 Reactions
2 Replies
767 Views
Leo ikiwa ni mara yetu ya kwanza kuanzisha thread hii kwenu. Kama una tatizo lolote likusumbualo tuma swali lake tutakujibu MAJIBU YATAANZA SAA 2:00 USIKU
3 Reactions
153 Replies
12K Views
Habari wa ndugu. Wakati nipo sehemu Fulani hapa jijini. Nikakuta jamaa wakibishana vikali kuhusu mzazi wa kiume (Baba). Mjadala ulianza pala mmoja wao aliposema kuwa amemgegeda Dada yake...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Jamani mlie karibu na mtukufu mniulizie kama hali hii ina koma lini au kama haina ukomo nalo mnijulishe
1 Reactions
83 Replies
11K Views
Mikono juu kama wewe ni mkenya
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nitamuuliza maswali machache tu kama yafuatayo; 1:Mshana Jr we ni binadamu wa kawaida au ni kiumbe umetumwa toka kuzimu. 2: Unajua nini kuhusu imani unaabudu Mungu au miungu unayoijua wewe...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wana Jf.polen kwa ujenzi wa taifa hili ambalo inasemekana wananchi wake hawana furaha kwa kwa zaidi ya 90%.ila mimi ninafuraha sana tu kwa kuwa ni mzima wa afya siumwi. Ngoja niende kwenye...
6 Reactions
110 Replies
8K Views
Kwa heshima na taadhima napenda kuwasalimu wana JF wote mnaopatikana Iringa leo naingia Iringa hivyo kwa member aliyepo mjini si vibaya japo tukaonana na kubadilishana mawazo mawili matatu...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom