Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,757
- 51,373
Habarini wanajf.poleni na mvua aise kwa wakazi wa CALL ME J plz.maana kitu kinapiga mdogomdogo flani hvi yani fulu burudani.
Ngoja niende kwenye mada moja kwa zote
Angalau furah ya kutumia whatsapp imerudi sasa maana ilikuwa inaniboa kiaina.eheee sasa hvi sasa unaweza ukasoma mapovu ya watu loh!!

kwakweli nilikuwa naukosa umbea flani hiv maana kuna watu wengine wanaishi mitandaon kwani kila kinachomtokea hukiweka kwa status loh!!basi kupitia alichokiandika unajua huyu anayapitia yapi huko aliko.
Si watu wote jmn naomba nieleweke hapa,kuna wale ambao hawawezi kuzuia hisia zao basi kila kitu wao ni kukiweka hadharan.chah!!
Najua kuna watakaokuja na mapovu kama ya mac washing powder
karibun
Twende mbele turudi nyuma whatsapp ilikuwa ikiboa kiaina.
Kuna jamaa aliulizwa,unatumia whatsapp?akajibu ndio natumia ila iwe ya baridi

sasa sijui hii tuliyokuwa tukiitumia ilikuwa ya uvuguvuguuuu maana....loh!