Bus zuri la kwenda moshi

Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
18,734
51,274
Habari wana Jf.polen kwa ujenzi wa taifa hili ambalo inasemekana wananchi wake hawana furaha kwa kwa zaidi ya 90%.ila mimi ninafuraha sana tu kwa kuwa ni mzima wa afya siumwi.

Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja.wapendwa naomba mnijuze basi zuri ambalo linacharge system naweza charge cm nikiwa nimekaa kwa seat yangu.asanten

Daby (jirani)

Husna

Shunie

Jovitha

Mondray

Karibuniii
 
MGHAMBA INTER TRADE
not sure if am right my love
 
Panda KILIMANJARO EXPRESS choo ndan
Full a.c
Usb port.

Refreshments.....na unapata muda wa kula hotelini kwao nusu saa.

Panda KILIMANJARO EXPRESS A.K.A WASAFI
 
MGHAMBA INTER TRADE
not sure if am right my love

Ohoo darling..nimefurahi.hili lina charge system!maana kuna siku nilipanda moja ya kidia bus nilikuta charge system lkn sikumbuki namba zake.na akati nasafiri tena wakanidanganya nikapanda kidia one ila nusu nilitafune maana walichoniambia sicho nilichokikuta
 
Kilimanjaro Express bei yake ni 33,000/- fixed price, wana router wifi, system charge seat zote, AC mwanzo wa safari mpaka mwisho, bila kusahau maji ndogo ya kilimanjaro, soda moja take away, cake moja, sweet kama ivory nk..utapata nafasi ya kupita katika hotel zao zenye viwango na ubora wa hali ya juu, chakula cha kila aina kinapatikana hapo, wahudumu wa kisambaa poa kabisa hah hah, vyoo safi na nadhifu..this is unpaid promo hah hah lakini Kilimanjaro representatives wakipita hapa lazima wanilipe babaangu:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom