Niulize swali lolote nitakujibu

Travis Walker

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
323
333
blob.jpg


Leo ikiwa ni mara yetu ya kwanza kuanzisha thread hii kwenu.
Kama una tatizo lolote likusumbualo tuma swali lake tutakujibu

MAJIBU YATAANZA SAA 2:00 USIKU
 
Maswali juu ya nn kuhusu nini siasa... Uchumi... Mapenzi... Elimu... Intelligence....
Au yotetuu ?
Au nyie ndo akina hamorapa?
 
hujijui tu wewe ndio hamorapa

mtu kashakwambia niulize swali lolote haja specify unataka nini tena

acha ukilaza huo Bashite mkubwa wewe
Asa kama hayo tuu yameshindikana kujibiwa.... Jee tukiweka maswali? Jibu swali usiishie kuloloma
 
Nataka kufahamu kama watu wote duniani tutaambiwa tunywe maji yote hadi yaishe kila mtu atatakiwa kunywa lita ngapi?


Na vipi hadi sasa Dunia ina lita ngapi za maji chini na juu ya Ardhi?

Unadhani ni nini kinamfanya mtoto kunyonya maziwa ya mama yake ile hali hajui lolotr kuhusu kula?.

Aliyebuni Namba alijuaje kama Mwanzo wa namba ni 0 hadi 9 na kuna makosa kama tukigeuza 9 kuwa 3?

Mara nyingi nikiwa Safari huwa napenda kusikiliza wimbo wa Bamboo kademu ka Mzinga ni kwanini?

Chakula kinakula nini?

Ukifa ukakuta mshikaji wako hayupo msibani utachukua maamuzi gani?

Aliyejua kuwa wali unafaa kuliwa na Maharage ni nani na alitumia muda gani kukamilisha utafiti wake?

Kule Marekani kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa Hatezan Finnte kwanini alikuwa Mmarekani ile hali hakutaka aishe huko Marekani?

Simu yangu ina Mpasuko kwenye kioo ni nani aliipasua maana kila mtu anasema sio yeye(bora leo utanipa majibu).

Nimelipa kodi ya Nyumba mwezi huu ila mwenye Nyumba kasema sijalipa na risti ninazo unahisi kwanini ?

Kwanini Binadamu hawezi kusahau kuvuta hewa hata ukiwa busy namna gani.?
 
Back
Top Bottom