JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wanaume hamfai kabisa siku hizi,unapanga kidate na mdada ,wakati wa kulipia bili mwanaume mzima na midevu yako unazamia chooni, Ndo maana Siku hizi wanaume wengi mnaishia kupenda vya bure
5 Reactions
54 Replies
3K Views
ikiwa kaka yako ameoa utasema kaka yangu ana mke je ikiwa una kaka wengi na wote wakaoa utasemaje??????
0 Reactions
10 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWA YEYOTE ATAKAE TAKA KUENDELEA NA STORY HII TAFADHALI NI TEXT HAPA 0656660223 INAITWA FINAL.DECISION NAMI NITAKUTUMIA LINK YA STORY YOTE FILAMU YAKE ITATOKA HIVI KARIBUNI NA HII NI SEHEMU YA...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Nilipanda daladala kutoka Temeke kwenda Mkuranga. Ndani ya daladala tukawa tunatumbuizwa na nyimbo za kizazi kipya. Ikafika wakati wakaweka wimbo wenye kiitikio "naweka, natoa". Basi dada mmoja...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Taja jina la mtu unayeona anafaa kuwa kwenye nafasi husika katika serikali yetu hapa jukwaani "JF" kama ilivyo ainishwa hapa chini. NB.Mtajwa ni sharti awe membea hai wa JF. A.SERKALI KUU YA...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari zenu jf, kuna mama mmoja nilikuwa nine panda naye gari akawa anazozana na vijana wawili akiwaambia kwa nn wamevaa mlegezo,madai ya huyu mama ameishi Mombasa at anajua maana ya mlegezo...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Jamani ni umri upi sahihi wa kuingia kwenye ndoa ili kuweza pata watoto wa 3. bila matatizo ya uzazi?? naomba kujua.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi jamani mnaonaje kwenye club kuwe na hela ya kutokea sio kuingilia pekeyake...nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamaa anatembea kitaa huku njaa kali ikimnyanyasa na mfukoni hana hata bati.Mara akaliona bango la restaurant moja limeandikwa;'KULA KADRI YA UWEZO WAKO ,BILI YAKO ITALIPWA NA WAJUKUU ZAKO!'.Jamaa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Haya Mambo Huwezi Kuwa Umepitia kama Umezaliwa Baada ya Mwaka 90... 1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa j2 tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Mtoto kasikia mama usiku akimwambia baba mi natakaa, nipee tena, nipe nilambe, baba aka mwambia fungua zp. Mama akasema tamu, du mtoto kakurupuka akamwambia baba yake na mi nataka ckajua pipi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
This is called FACEBOOK ♥ (inbox) Boy: Hello Babe Girl: (seen 3 minutes ago) Boy: Hey please answer me:) Girl: (seen 2 minutes ago) Boy: But why do you treat me like that?? Why...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale walioipita depo iwe POILISI, JKT au JWTZ mtakubaliana na mimi mkiwa depo huwazi hata siku moja mapenzi wala kupenda. Kuna sababu nyingi zinazosababisha hizi 1. Kwanza huoni msichana...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Chausiku kaingia kwa mbwembwe duka la kuuza vifaa vya computer akaomba aonyeshwe mapazia achague rangi aipendayao. Kijana muuzaji akamwambia,"dada mbona hatuuzi mapazia hapa". Chausiku huku...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaume wengi huona aibu kumiliki govi lakini utafiti wangu unaonesha mungu alikuwa na kusudi lake kutuumba na govi zifuatazo ni faida zake 1. Kumuheshimu mungu bila kukosoa uumbaji wake...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Madaktari 6 watanzania walioombwa na WHO kwenda Sierra Leone kutibu Ebola na kulipwa 2,000,000/= kwa siku wanaitwa majina haya : 1. Dr. Esta Kokugasha Mukasa - kakataa kwenda 2. Dr. Makame...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Redirect
Wanawake wemekuwa waajabu sana mwanaume huna pesa anakusaliti ila pata hela utaona anarudi kwako.jamani waugwana huu ni huniugwana kweli???
0 Reactions
Replies
Views
mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kimombo a.k.a kingereza kikiongelewa na watu wengi kulingana na matukio.. Lakini kwa dada zetu wa kitz hasa wale ambao wana umaarufu kidogo imekuwa shida (sijui...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom