JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi binafsi ingawa zipo scene nyingi sana sana sana zilizonigusa kwenye ile series ila tukio lililobahatika kuingia hapa ni pale agent Bauer alivotoa sadaka maisha ya Paul Raines ili aokoe maisha...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Mheshimiwa Mwenyekiti tume ya uchaguzi, Wapo vijana wanapiga kelele sana kwamba siku ya uchaguzi watataka kulinda kura zao. Mh jaji Lubuva, wasaidie hawa vijana kulinda kura zao. Ni rahisi sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasalaam, Nimekuwa nikisikia Mara nyig kuhusu hili jambo Mapepo, hata katika mambo yanayopaswa binadamu kutumia Akili yanasingiziwa Mapepo. Utasikia: Ana pepo la kiburi. Au ana pepo la uchoyo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
kwann wtu wa mmu roho znu mbaya?nipen majbu
0 Reactions
28 Replies
3K Views
sikuamini nilipo.abiwa kwaba mshikaji wangu kafaliki hospitall bugado banda ya kufanyiwa opolesheni ya moyo amekaa zaindi ya siku tatu anapumua nabanda yahapo nda ikashindikana hatimae mauti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo Nakuwa MNYENYEKEVU KULITOKUKA Kwenu Nyote Kwani Hivi Ninavyoandika Huu Uzi Nimejifungia Toilet Ili Huyu Mke Wa Mtu Na Hawara Yangu Asijue Kuwa Nawasiliana Na Nanyi. Kwanza Kabisa Napenda...
2 Reactions
38 Replies
10K Views
MC: Na sasa tupate maneno machache kutoka kwa Bwana Harusi. Bwana Harusi: Asante MC, kwanza naomba nimshukuru Mungu kwa kumuumba mke wangu, kwa hilo Mungu uko juu. Pili, nimshukuru baba mwenye...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Ukitaka vichekesho vingine kama hivi tuma kichekesho kwenda 15667 utachajiwa sh 120.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kutokana na msisimko wa siasa uliopo nchini, watu wanatoleana matusi, si busara ukereketwa wetu kwenye siasa ndugu zangu tutoe hoja za msingi na sio kukashifiana.
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Mine is! ha haaa Hellos wapendwa, Ni hivi, my parent yupo humu JF, najua hadi jina lake humu ndani, how did i knw? siku tupo kifamilia zaidi, ila ye kashikilia tablet yake kaboreka mwenyewe...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Boy:Hi Girl:Am fine Boy:You look so beautiful Girl:You look so handsome too Boy:I love you Girl:Thanks Boy:I want to be your boyfriend? Girl:Accepted,but no sex! Boy:Why? Girl:Coz i want...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Kweli hawa jamaa hawajakutana barabarani. Baada ya kusimamia vikao vyote mshua kaamua naye kujiunga kwenye mafuriko. Habari zaidi zinafuata baadae.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nipo Kasulu . Ni sehemu gani ya kwenda kuitembea Kasulu na hata ya makumbusho au ya kulia bata.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naomba nieleweke kwa hili. Juzi ijumaa niliamua kwenda kijijini kuwasalimia wazazi wangu,na nilibeba baadhi ya vyakula kwa ajili yao. Nilipofika na kuwajulia hali,nikamuuliza baba je...
9 Reactions
31 Replies
6K Views
In case you come across these books with their authors, which one would you prefer to buy? 1.How to look handsome by Steven Wasira 2.The secret of successful marriage by Aunt Ezekiel 3.Food...
4 Reactions
47 Replies
9K Views
Habarini za siku nyingi mabestito wangu niliwamisije? ACHA NIWAACHIE KACHORUS KATAMU KA KUWAKUMBUKA MARAFIKI ZANGU Upendo haumo katika maneno; unaonekana kwa matendo; hauonekani kwenye raha...
12 Reactions
200 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu. Eti kati ya chupi na samaki, kipi kinavuliwa sana?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kufuatia upembuzi , uchunguzi mahsusi na yakinifu , imethibitika kua maneno haya matatu (3) yanatajwa takriban mara kadhaa katika kaya za watanzania hivi sasa . Neno linaloongoza kutajwa sana...
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Watu wana maneno!!!! Duuuh! "Kikwete kila anapokwenda anatembea na Magufuli kwasababu anahofia akimuacha peke yake atahamia UKAWA"
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom