JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Kumeibuka chapisho la tangazo linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, likiwa na kipande cha video kinachomuonesha Abubakari Bakhresa akidai kuwa kampuni yake ya Azam inatoa fedha kwa Watanzania kuanzia TSh 4,000,000 hadi 6,500,000, huku usajili ukidaiwa kufanyika ndani ya siku tisa. Katika chapisho hilo, pia kuna kiungo kinachoonekana kuhusiana na tovuti ya The Citizen, kikiwa na ujumbe unaosema: “Serikali mpya, fursa mpya: Maelfu ya Watanzania tayari wanatumia fursa hii kupata zaidi ya TSh 4,000,000 ndani ya siku 30.” Je ni upi ukweli wa Tangazo hilo?
Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mtandao wa Facebook likiwa na nukuu inayodaiwa kumhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa John Heche Katika chapisho hilo, Heche anadaiwa kusema kuwa wako katika hatua nzuri ya mazungumzo na serikali. Aidha, chapisho hilo limesambazwa kupitia vikundi mbalimbali vya Facebook, likidaiwa kuwa limetolewa na ukurasa wa Jambo TV. Ujumbe uliobebwa katika chapisho hilo unasema: “Tupo kwenye hatua nzuri ya mazungumzo na Serikali kuelekea maridhiano ya kitaifa yenye lengo la kuimarisha mshikamano, kulinda maslahi ya taifa, na kuharakisha maendeleo kwa Watanzania wote.” — John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA.
Kauli huumba..Matamshi kama haya toka kwa AMIRI JESHI MKUU yanawaoa polisi, TISS, JWTZ ( kwa kiasi kidogo) kuua, kuteka, kuumiza, kupoteza watu. Ukishasema hutawavumilia watu, interpretation ya polisi in particular and TISS umewachochea kufanya " uhalifu". Kauli ya upatanishi ndipo ilikuwa mahali pake na si kuwachochea. Ingelikuwa mimi ningeliwaita wateule wangu na kuwaonya na matamshi ambayo siyo rafiki kwa wananchi. Lukuvi Alikuwa na matamshi ya KIBURI CHA MADARAKA Moderators nisaidie maandishi ya kwenye picha yaonekani.
There have been posts circulating on Facebook, particularly from the page Headline 360, claiming that: “Italian Prime Minister Giorgia Meloni has called on China to leverage its significant influence to halt the escalating military actions by Israel and the U.S. against Iran. Italy warns that without Beijing's intervention, the conflict risks a total collapse of international law.” However, upon digital investigation , it has been found that this statement misrepresents what Prime Minister Giorgia Meloni actually said.According to post published by Reuters, melon issued are statments regarding her strongest criticism yet of the U.S.–Israeli war on Iran, describing it as part of a growing and dangerous trend of interventions “outside...
Kumekuwepo na machapisho kadha wa kadha kumuhusu kunguni katika moja ya mjadala inayoendelea kwenye mitandao kupitia tovuti ya Mchinga blog imechapisha kuwa mdudu kunguni anaweza kuishi takriban miezi 18 bila kufa na akaendelea kuwa hai. Katika chapisho ambalo lina nukuu ya jumbe zifuatazo “Kunguni ni mdudu wa ajabu sana.Mdudu huyu hupenda kuishi maeneo waishipo binaadamu kwa kuwa chakula chake kikubwa ni damu y a binaadamu. Wadudu hawa hupenda kuishi vitandani na kujificha katika vipenyo vidogovidogo vya kitanda,au sehemu zinazofanana na hizo. Kinachostaajabisha sana kwa mdudu huyu ni kwamba, KUNGUNI anaweza kukaa hadi miezi 18 bila kula na akiwa hai.katika hali hii kunguni huwa bapa zaidi na kubadilika rangi kutoka nyekundu/kahawia...
Kama ilivyo kwa watu wengi, nimekuwa nikisikia hadithi na imani mbalimbali za mitaani kuhusu matumizi ya limau. Hivi karibuni, niliamua kunywa maji ya limau kwa wingi. Lengo langu halikuwa kufanya majaribio ya kitabibu, bali ilikuwa ni sehemu ya utaratibu wangu tu wa kawaida. Huwa nimewahi kusikia kuwa ukitaka kusogeza siku zako ziende mbele unatakiwa kunywa juisi ya malimao. Nikajaribu baada ya kunywa hedhi ikakakta ghafla kwa siku kadhaa ikarudi tena na inasemekana pia kuwa ukinywa limau nyingi kabla ya hedhi kuanza, utapata siku chache sana (kwa mfano siku mbili badala ya tano). Je, huu ni ukweli wa kisayansi au ni sadfa (coincidence) tu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…