Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nasikia mama katoa milioni 5 kila gori ila kiukweli hizi timu zikiwa ndani hapa unasema ni bora ila zikiwa nje ni mbege ya moshi. Tunaitaji kufumua soka la ndani kwanza tutaendelea hivi hivi...
2 Reactions
4 Replies
378 Views
Naona zimeanzishwa nyuzi nyingi humu za utabiri wa Raja kumshushia Simba kipigo, binafsi pamoja na ushabiki wangu wa Yanga lakini inapofikia mechi ya kimataifa uwanja wa Mkapa kwa timu ya Simba...
3 Reactions
6 Replies
478 Views
Tangaza kwa wana simba wote Leo hakikisha umekula na kushiba vizuri Na ukiona kama unaumwa naomba usiende kuangalia mpira Sina mengi ya kuwambia ila nitacheka tu kidogo...
0 Reactions
10 Replies
666 Views
Kwa tulichokifanya Mwenyezi Mungu tunakuomba utusamehe kwani hakuna namna tunahitaji Ushindi Kesho.
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Ukiitazama Yanga vizuri utagundua kuwa timu inamatatizo mengi ndani ya uwanja kuliko ubora na sifa inazopewa. Kwanini? Naomba unifuatilie kwa makini. 1. Kuwa na mabeki wafupi eneo la kati ni...
31 Reactions
80 Replies
6K Views
Oy wanangu nilikuwa napitia pitia misimamo ya ligi tofauti nikakutana na serie A aseee Moto wa napoli ni wa kuweka mbali na watoto yaani 23 games 62 pts khaa asee hii nongwa sana team ya pili...
0 Reactions
6 Replies
766 Views
Yanga watawafunga TP mazembe juma pili tena bao moja La penalti ya Shaban djuma Na maliza ivo tukutane juma pili Bisheni mkae lakini ukweli ndo uo
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Hapo niviongozi kutoka CAF wakipata chakakula wapo hapa nchini kuhusiana na Africa super ligi sasa najiuliza mbona cioni ata kiongozi mmoja wa 🌳🌳🌳🌳au wao sio super au basi.
4 Reactions
37 Replies
2K Views
"Kesho Uongozi wa Yanga SC umealikwa na Wana Yanga SC wa Mbagala ili twende Kuzindua Hamasa ya Kuelekea Mechi yetu ya Jumapili dhidi ya TP Mazembe na Ijumaa hadi Jumamosi pia kutakuwa na Matukio...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Mimi ni mzalendo. Pamoja na kunipenda sana Simba lakini linapofika suala la Nchi Tanzania Huwa naweka mbele maslahi ya Nchi. Japo hakuna hata SEKTA Idara, Wala Taasisi yoyote yenye Mafanikio...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
🚨Ni rasmi Kuwa CAF wamekataa ombi la simba kucheza saa 10 jioni mechi yao dhidi ya Raja Casablanca,na Badala yake mchezo utakua saa 1 usiku,hii ni kutokana na CAF kumiliki hatimiliki katika hatua...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
Simba anakutana na Raja huku Yanga atachuana na Mamba wa DRC Tout Puissant Mazembe. Unafikiri kati ya wekundu wa msimbazi na wananchi wapi wana uhakika wa ushindi?
1 Reactions
5 Replies
659 Views
∆ Aghalabu, mcheza kamari akishinda, huanza kucheza zaidi kwa pupa huku akipuuzia mbinu za kuepuka hasara. ∆ Mcheza kamari akishinda mara nyingi hujisifia kwa mbinu bora aliyotumia katika...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Dk. Pindi Hazara Chana kwa kuteuliwa na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo...
0 Reactions
2 Replies
561 Views
Kwa mwenendo wa checheme huu kweli kuna mashabiki wanaamini timu yao itachukua ubingwa? Kesho wanadondosha point mbele ya Manchester City. Nina uhakika kwa asilimia 100 akijitahidi ni kupata sare...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
Mchezaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei toto) amepata ajali mchana wa leo Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar. Ajali hiyo imehusisha Gari yake aina ya...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Wanasimbaaaaa! Kwanza tukubaliane tuna game ngumu sana jumamosi hasa kutokana na historia ya timu za Morocco kuonea sana timu za Tanzania. Kuifunga Raja itakuwa historia mpya kwenye soka letu...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya kijana wetu hashimu Sabiti kuamua kutembeza tango pori badala ya kucheza kikapu kaibuka mwamba huyo Mobamba toka Ivory Coast. Orlando Magic to Lakers, Kijana wenu alionekana mitaani...
13 Reactions
102 Replies
7K Views
Ofisa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema kabla ya Februari 18, 2023 mzigo wa jezi mpya utakuwa umefika Tanzania ukitokea Ethiopia ambako umekwama. Akizungumza leo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeguswa sana na Tangazo la Hamasa la Timu Raja Club Athletic kwenye CAF kuhusu ujio wao Tanzania kucheza ball. Natamani Tanzania tujifunze na sisi kutengeneza matangazo kama haya, jamaa...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…