Ubora wa kipa ndio umeibeba Vipers jana kwa Mkapa

ITR

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
4,451
11,347
Naona watu wanalalamika kuwa simba jana pamoja na kushinda lakini wamesheza mchezo mbovu, lakini maoni yangu ni tofauti kabisa kwa sababu tangu yashindano ya ligi ya mabigwa ianze jana ndo kidogo simba ameonesha uhai kidogo hasa kwenye kusukuma mashambulizi kwa nguvu na kasi.

Tukiachana na ushabiki matokeo ya jana yameamuliwa na Ubora wa kipa wa Vipers tofauti na hapo Simba ingeshinda si chini ya goli 3 mpaka 4.

Jana simba walikuwa wanashambulia kwa kasi kitu kilicho zuia mabeki wa Vipers kupanda hivyo mabeki wa simba kuwa huru na ndio maana jana unaona Onyango hajafanya makosa ya kizembe kama tulivyo zoea bali walio kuwa wanafanya makosa ni Viungo.

Lakini pamoja na hayo mm sio muumini wa huu mfumo wa kocha wetu,mpila mzuri ni weka Ball chini itembee na sio mpira wa kukimbizana kama vichaa.
 
Kwa Simba hiii .....ndo wakutane na mamelod .....au Yanga just imagine what gonna happen
 
Naona watu wanalalamika kuwa simba jana pamoja na kushinda lakini wamesheza mchezo mbovu, lakini maoni yangu ni tofauti kabisa kwa sababu tangu yashindano ya ligi ya mabigwa ianze jana ndo kidogo simba ameonesha uhai kidogo hasa kwenye kusukuma mashambulizi kwa nguvu na kasi.

Tukiachana na ushabiki matokeo ya jana yameamuliwa na Ubora wa kipa wa Vipers tofauti na hapo Simba ingeshinda si chini ya goli 3 mpaka 4.

Jana simba walikuwa wanashambulia kwa kasi kitu kilicho zuia mabeki wa Vipers kupanda hivyo mabeki wa simba kuwa huru na ndio maana jana unaona Onyango hajafanya makosa ya kizembe kama tulivyo zoea bali walio kuwa wanafanya makosa ni Viungo.

Lakini pamoja na hayo mm sio muumini wa huu mfumo wa kocha wetu,mpila mzuri ni weka Ball chini itembee na sio mpira wa kukimbizana kama vichaa.
Simba ina kipa mzuri sana
 
Ubiriani kwenye kutafuta alama kweli?? Maana watu wamekuja kuwashambulia nyie mnataka mle biriani....mtauawa 😄 😄 😄
Kama kwa Vipers mnashindwa kucheza mpira wenu mliouzoea, vipi mkikutana na kina Mamelod huko robo fainali ?
 
Mwamedi MSHAMBA sana.

Anaendekeza wachezaji wa Buku Buku.

Simba Ina wachezaji 6 tu wengine wooote ni mozigo
 
Kama kwa Vipers mnashindwa kucheza mpira wenu mliouzoea, vipi mkikutana na kina Mamelod huko robo fainali ?
Kila game Kocha anakuja na PLANI yake, acheni haya mambo ya kukariri, hakuna timu ambayo haifungwi au haishindi pamoja na huo ubora, mbona game dhidi ya Horoya Simba SC walicheza vizuri lakini alipoteza, kwanini haya mambo mepesi mnashindwa kung'amua.!
 
Phili Dk 70.

Hakuna shuti,
Hakuna shuti Nje ya goli.
Hakuna nafasi aliyotengeneza.
Hakuna shuti ndani ya Goli.

Hao akina Baleke ni mizigo mingine.
Banda,
Kanute.
Ottara.
Okrah.
Sawadogo.

Simba Ina wachezaji Mizigo sana
 
Phili Dk 70.

Hakuna shuti,
Hakuna shuti Nje ya goli.
Hakuna nafasi aliyotengeneza.
Hakuna shuti ndani ya Goli.

Hao akina Baleke ni mizigo mingine.
Banda,
Kanute.
Ottara.
Okrah.
Sawadogo.

Simba Ina wachezaji Mizigo sana
Na wewe rudi uto...
 
Back
Top Bottom