Liverpool FC wanataka kuja Tanzania, Serikali changamkieni

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,665
Haya sasa serikali ichangamkie hiyo fursa ya kujitangaza kimataifa kupitia bongo zozo
333583663_113679578265456_40436542830844389_n.jpg

USSR

===
Alichoandikiwa Bongozozo kutoka liverpool na ambacho amekiweka kwenye account yake ya Facebook
Hello Bongozozo, I have seen some videos you made on Mt Kenya and Mt Kilimanjaro and would like to know which would be a better option for our team to climb? Some of the staff and players have expressed an interest in climbing a mountain more significant than Ben Nevis and in line with our holistic training programme, as well as our charity outreach, we would like to request details on climbing mountains in East Africa. Please email me at *****@liverpoolfc.com with details of price, suitability for off season (June/ July), duration of trek, accommodation options, vaccinations required, etc.

Tafsiri

Habari Bongozozo, Nimeona baadhi ya video zako kuhusu Mlima Kenya na Mlima Kilimanjaro na ningependa kujua ni nani kati yao angekuwa chaguo bora kwa timu yetu kupanda? Baadhi ya wafanyakazi na wachezaji wameonyesha nia ya kupanda mlima mkubwa kuliko Ben Nevis na kulingana na mpango wetu wa mafunzo ya kina, pamoja na shughuli zetu za kijamii, tungependa kuomba maelezo juu ya kupanda milima huko Afrika Mashariki. Tafadhali nitumie barua pepe kwa ***@liverpoolfc.com na maelezo ya bei, msimu unaofaa (Juni / Julai), muda wa trek, chaguzi za malazi, chanjo zinazohitajika, n.k.
 
Mimi ningependa waje Man U ili wakija wawaeleze pia mashabiki wao, sababu ya kupigwa wiki na hao Liverpool.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ukiulizwa wiki inasiku ngapi? Unajibu nn mkuu?
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Tukumbushane simba wanacheza saa ngapi vile..?
 
Attachments

  • 1678193954332.jpg
    1678193954332.jpg
    36.5 KB · Views: 2
Hapo ilibidi waziri wa utalii ndio alichukue hili swala mikononi mwake. Jamaa watafeel more appreciated kuliko kumuachia bongozozo mwenyewe. WaKenya navyowajua wanaweza unda hata kamati kulimaliza hili
 
Haya sasa serikali ichangamkie hiyo fursa ya kujitangaza kimataifa kupitia bongo zozo
333583663_113679578265456_40436542830844389_n.jpg

USSR

===
Alichoandikiwa Bongozozo kutoka liverpool na ambacho amekiweka kwenye account yake ya Facebook

Tafsiri
Mi napendekeza Liverpool waje mwezi wa 7 tarehe 7(yaani kwenye sikukuu ya sabasaba) halafu waalikwe Pia na hao
Manchestersaba Utd, then mechi irudiwe kwa mkapa.
Kwa wale wateja wa magoli
goli moja litanunuliwa Dollars milioni saba (7,000,000$)

Back
Top Bottom