Yanga inayoongoza ligi kuu ya Tanzania inakwenda kuchuana na timu inayoshika mkia katika ligi kuu ya Afrika ya kusini kuwania kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,tarehe 10 May...
Nimemsikia Ahmed Ally akibeza mafanikio ya Yanga kwamba imekutana na vibonge kwa hatua zote alizopita,swali ambalo semaji la CAF hawezi kujibu ni kwamba je Yanga imebeba ubingwa wa NBC Simba akiwa...
Nichukue fursa hii kuwapongeza Timu ya wananchi kwa hatua hii muhimu waliyofika hakika wameliheshimisha Taifa na East africa nzima.
EFM Kuna vipindi viwili vya michezo Sport hq na E- sport...
Video imeanza kusambaa ikimuonesha mchezaji wa Azam Sospeter Bajana akiweka dole kwenye makaratasi huku akiwa na jezi ya Simba.
Je hii ni dalili kama amesaini Simba?
Jionee mwenyewe:
Mitimu mingine Boss Mkuu hajulikani, Bahili, Juha japo lina Hela, anaijali Timu ikikaribia kupata Fedha huku Viongozi wake Wengine wakiwa wapo wapo tu kila Mtu na Lwake halafu na Mishabiki yao (...
Yanga itashinda goli 2 kwa bila na ili upate pesa nyingi bashiri kuwa goli zote zitapatikana kipindi cha kwanza.
Pesa nje nje, wataalamu wa betting mnisaidie , nikibeti kwa kutabiri yanga...
Baada ya Yanga kutinga fainali sasa ni mechi ya kuangalia nani anaenda kukutana na Yanga kwenye fainali
Mchezo ni saa 4 usiku (EAT)
Vikosi kwa timu zote mbili
Hata kama umefika Robo Fainali ya CAFCL mara Nne bado ni Kazi bure ( Work done Zero ) kwa yule aliyefika Fainali ya CAFCC.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE yule aliyefika Fainali ya CAFCC ndiyo Mwanamume...
Nawapongeza kwa miaka yote mlijaribu lakini baada ya miaka zaidi ya 80 mmefanikiwa.
Kuna mtu mmoja anasema eti mwaka mmoja tu semi na hatuishii hapo.
Nawakumbusha ninyi siyo Ihefu, ninyi ni Dar...
Yanga ndio huyo Fainali ya Shirikisho. Tambueni tu mtani anachuma alichopanda baada ya msoto mkali.
Uwekezaji, mipango-mkakati na utawala bora, maandalizi mazuri ya msimu, kiu ya mafanikio n.k...
Nitasikitishwa sana Kama kombe la shirikisho litakwenda Algeria wakati Kuna kamati za ufundi za ufundi za Simba na Yanga huwa zinakesha kwa mkapa na muda mwingine huwa zinagombea kuulinda uwanja...
Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat.
Yanga ndiye bingwa wa confederation cup.
Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule...
Kuna msemo umekua maarufu sana kwa sasa, kwamba mpira ni mchezo wa hadharani watu wanacheza uwanjani na kila mmoja anatazama, kama kuna sehemu ambazo yanga wamefanikiwa sana ni kuwekeza kwenye...
Mafanikio hayana chama Kama wahenga wanavyosema.kitendo cha yanga kufikia fainali ya kombe ya shirikisho n Jambo kubwa kwa maendeleo ya soka la Tanzania lakini Kuna msemo unasema "Roma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.