Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kama utani vile, ndugu zetu hawana chao huu msimu. Bundi kasimama juu ya bati lao, hamna waliloambulia msimu huu. Tusiwasimange tuwape pole, na wao wasibeze mafanikio ya waliowashinda bali...
0 Reactions
3 Replies
533 Views
Kuna kauli ilitolewa na Mwanachama mwandamizi wa makolo MINOCYCLINE , rejea huu Uzi Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3 Wote...
3 Reactions
6 Replies
580 Views
Mshambuliaji wa Brentford Ivan Toney afungiwa kucheza, kushiriki mpira wa miguu kwa muda wa miezi 8 kuanzia leo pamoja na kulipa faini ya Tzs 150,000,000/ Hapo mwaka jana alikutwa na tuhuma za...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Ziko google:- Radio - Rungoya/Redio. Password - Nywila. Keyboard - Kicharazio/Baobonye. Scanner - Mdaki. Floppy disk - Diski tepetevu. Computer virus - Mtaliga. Business card - Kadi kazi...
1 Reactions
3 Replies
587 Views
Mshambuliaji wa Brentford, Ivan Toney, amefungiwa kujihusisha na mpira kwa miezi minane kwa kosa la kukiuka sheria za chama cha soka cha England, FA, kuhusu kubeti. Kifungo chake kutaisha Januari...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Kumekucha tena wakuu, habari zenu wapenda soka? Ni imani yangu kua mko poa.! Leo ndo ile siku ambayo wananchi wamekua wakiisubiri Kwa hamu kubwa. Si mlisikia kua kutesa Kwa zamu? Naam Yao imepita...
12 Reactions
453 Replies
40K Views
Picha chini inajieleza, hao Marumo Gallants wako nafasi ya 14 kwenye ligi kuu ya Afrika kusini, in short wanaelekea kushuka daraja. Mtu aniambie, ni lini hapa duniani timu inayoshiriki nusu...
5 Reactions
74 Replies
7K Views
(1) Fistoni kalala mayele Anachezea club ya Young African sc iliyopo nchi ya Tanzania, mpaka Sasa amefunga jumla magoli sita (6) (2)Ranga chivaviro Anachezea club ya Malumo gallants ya south...
7 Reactions
50 Replies
4K Views
1/ uchezaji wa Marumo gallants Fc, nimewatazama sana Marumo uchezaji wao ni wakufunguka (piga nikupige) Kutokana na mbinu hizo Kuna uwezekano mkubwa sana Yanga akapata goli maana Marumo kwenye ku...
12 Reactions
25 Replies
1K Views
Jumatano hii yanga itashuka dimbani kukipiga na marumo mchezo wa pili wa nusu fainali. Habari njema nikuwa yanga watafanikiwa kupata sare na kusonga mbele kwenye michuano ya Kombe la shirikisho...
0 Reactions
8 Replies
790 Views
1. Ili wana Simba SC tunaodanganywa kila mara mpaka kutuletea Mchezaji Mhamasishaji, Majeruhiwa, Mwanasiasa ( hasa za Michezo ), Mpiga Kura, Msanii na kufanywa Wapumbavu tuumbuke. 2. Ili Uongozi...
40 Reactions
65 Replies
7K Views
Kweli ninakubaliana na hoja za Wanayanga kuwa wameweka Rekodi ya kufika Nusu Fainali na sasa wanaikaribia Fainali ya Mashindano CAF Confederation. Nikiwa natumia ubongo huo huo kukubali hayo...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Yanga wako serious kumtaka Khama Billiat...Ni mchezaji mzuri sana! Hakuna shaka juu ya uwezo wake, kama atafikia asilimia 50 tu ya uwezo wake ninaoujua atasumbua na kuimbwa sana! Changamoto ya...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari ndio hivyo wanasimba wenzangu. Sijui tukajifiche chaka lipi, hatuna tena la kuwaambia utopolo. Sehemu pekee tulivyokuwa tumebakiza ni kuwa sisi ni miongoni mwa timu Bora 10 barani Afrika...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la wadau wa mchezo wa mpira wa miguu ambao wanafanya kazi ya kutathmini na kuchambua michezo mbali mbali hapa nchini, hasa mchezo wa soka (gozi la ng’ombe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wallace Karia pamoja na mazuri unayojaribu kufanya ,yanaharibiwa na kukosa utu kwenye uongozi wako ..yaani umekuwa mungu.. unataka wote tukubaliane na Kila unachotaka? Ni kiongozi Gani duniani...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Inasemekana msimu ujao atachezea Simba SC huku jambo lake likiendelea kutafutiwa ufumbuzi. Nimeumia sana, bora angeenda kuchezea hata Azam FC ila sio kwa Simba.
1 Reactions
44 Replies
7K Views
"Niliwaahidi mashabiki wa Simba kuwa msimu huu lazima tumfunge Yanga na tumemfunga tukafurahi wote, kwenye hilo mashabiki wa Simba Hawanidai" Murtaza Mangungu Mwenyekiti wa Simba SC Kuna...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Mancity 1-2 Chelsea Brentford 3-2 Mancity Brighton 2-2 Mancity Nottingham 1-4 Asernal Asernal 4-0 wolves Asernal 87 points Mancity 86 points Asernal winner [emoji471] #INAWEZEKANA
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom