Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

BABA MTUMISHI ZA ASBH KWANZA NAJUA HAIJAFIKA INAKARIBIA NIMEONA SEHEMU VIJANA MUAMKE.MAOMBI YA USIKU MAISHA YAMEKUWA MAFUPI SANA TUMJUE MUNGU AMEN KUONGEZEA USIKU WA LEO KAMA UJALA MASHABIKI WA...
1 Reactions
2 Replies
182 Views
Uganda’s political landscape is shifting once again after Persis Namuganza, the State Minister for Lands, Housing and Urban Development (Housing), officially joins the race for Speaker of...
2 Reactions
2 Replies
153 Views
Hii hapa mechi ya kukamilisha ratiba kwa Simba SC dhidi ya Stade Malien kutoka Mali, ambao tayari wameshafuzu hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAFCL) katika...
3 Reactions
58 Replies
1K Views
Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei...
5 Reactions
25 Replies
888 Views
  • Redirect
Yanga inakutana na JS Kabylie kwenye mechi ya CAF Champions League, Group Stage, itakayofanyika kwenye uwanja wa New Amani, Zanzibar, leo Februari 15, 2026 kuanzia 1:00 usiku.
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Habari za asubuhi Gamblers. Nimeshitushwa na ukubwa wa Odd aliyowekewa Yanga kushinda leo na Js Kabylie..... Wakati bookmarkers wengine wameteremsha odd ya Yanga kushinda leo kutoka 1.35 hadi 1.38...
2 Reactions
– Replies
– Views
HAKIKA WEMA NA FADHILI ZITANIFWATA....AMEN SHIKAMOO MHINDI
2 Reactions
37 Replies
635 Views
Wakuu Mimi ni mkali wa correct scores kwenye mikeka hata ofsini kwangu wananiita Messi wa mikeka Toka huu mwezi uanze Kuna intuition imekaa ndani yangu ikiniambia kuwa Arsenal atabeba ubingwa...
4 Reactions
11 Replies
435 Views
Aziz K Atajwa Kurejea Yanga Baada ya Haya Kutokea Kwa Waarabu. Makala hii inachambua hali ya wachezaji wa Yanga SC wanapojaribu kutafuta mafanikio katika ligi za Kiarabu, kwa kuangazia mfano wa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Tanzania Benjamin Mkapa Stadium (Dar es Salaam) Ujazo: 60,000 Gharama: $90M (Initial Construction), $12M (Renovations) Maendeleo: Renovations finalizing Vyanzo: IPP Media...
4 Reactions
9 Replies
775 Views
Wasalam. Huyu jamaa Kila nikigusa naambulia kichapo Ushindi wangu sare. Kuna yeyote mwenye ujuzi atupe mbinu
3 Reactions
14 Replies
561 Views
Mjadala wa uwanja wa Dodoma ulianza rasmi mwaka 2016 kufuatia ziara ya Mfalme wa Morocco Mohamed VI nchini, ambapo Hayati Rais John Magufuli alitangaza kuwa Morocco imeahidi kusaidia ujenzi wa...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu, Akizungumza na The Citizen, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema kwamba taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai...
1 Reactions
4 Replies
301 Views
Ni zaidi ya miaka minne sasa, mambo ndani ya klabu ya Simba yanaonekana kuwaendea kombo. Timu ambayo ilijenga heshima Afrika Mashariki na kutisha kwenye mashindano ya CAF, kila siku inaonekana...
3 Reactions
25 Replies
898 Views
Kenya wamejenga viwanja vya Kisasa hasa ule wa Raila Odinga Stadium Uganda wamejenga uwanja vikubwa na vya kisasa kabisa Sisi Tanganyika viwanja vizuri vinajengea Zanzibar Kwa fedha za...
9 Reactions
21 Replies
658 Views
Hongereni sana majemadari wetu na makomandoo wetu wachezaji wa taifa stars kwa kuionesha Dunia jinsi Gani morocco ni timu MBOVU kupita maelezo. Nina hakika asilimia mia refa kiazi mbatata wa...
6 Reactions
26 Replies
886 Views
  • Redirect
Timu ya ukaguzi kutoka Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) iko nchini Tanzania na inatarajiwa kufanya mkutano muhimu leo Ijumaa ya Februari 13, 2026 kujadili hatua zilizopigwa na changamoto...
0 Reactions
– Replies
– Views
Tazameni uhalisia wa mambo unavyoenda. Nchi zinazokaribiana na nchi ya Kusadikika ukiangalia project zao wako very serious na hawana porojo. Ukiangalia nchi ya Kusadikika ni kama vile tuko tu...
6 Reactions
28 Replies
597 Views
Hadi leo hakuna michezo/mashindano hayo huku dunia ikiyajadili kila saa ,hapa ndio unaona tofauti ya azam media na makampuni mengine Startimes ,dstv, kanal na wengine wanaonesha ila hawa jamaa wa...
3 Reactions
6 Replies
206 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…