Shalom shalom
Hekoheko marafiki na mashabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA. Mara baada ya kuibamiza klabu ya Asec mimosas hapo jana jijini Algers...
Kama Uongozi wa Simba SC na 'Scouting Team' ya Simba SC itakuwa tayari basi itupe Sisi JamiiForums Football Pundits na Watu wenye Maono Makali Jukumu la Kuwaambia ni Wachezaji gani Wazuri na...
Djigui Diarra '𝗦𝗖𝗥𝗘𝗘𝗡 𝗣𝗥𝗢𝗧𝗘𝗖𝗧𝗢𝗥' amefikisha jumla ya Clean Sheet 15 huku akifuatiwa na Aishi Manula mwenye Clean Sheet 12.
Mwaka huu Tuzo ambazo zina wamiliki tayari ni:-
Bingwa wa Nbcpl- 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔...
Kwa vile fainali itawakutanisha Yanga na USM Alger. Kwa kuangalia takwimu za timu hizo mbili, ni dhaniri kuwa Yanga ina edge dhidi ya USM Alger kwa Vile Marumo Gallants waliwafukia USM Alger na...
Kuna kila dalili za ubashiri kuwa, msimu huu wa 2022/23 timu ya Yanga ya Tanzania itafanikiwa kunyanyua makombe matatu (ligi kuu, Kombe la FA (Azam confederation) na Shirikisho CAF), na hali hiyo...
Kwanza nitoe pongezi kwa Yanga na MASHABIKI wake kwa kutinga Fainali kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa.
Mchezo wa Yanga na USM alger katika dimba la nyumbani hautakiwi kuwa na...
Hello bosses and roses
Kwa takwimu zangu naona jezi ya yanga ndio inayovaliwa sana mitaani, wiki mbili zilizopita nmesafiri mikoa tofauti tofauti lakini kote unakuta ni jezi ya yanga ndiyo...
Nimecheki baadhi ya video za USM Alger
Nimeona hawana mpira wa kutisha zaidi marumo ni Hatari kuliko wao. Labda kitakacho tuponza yanga ni ufupi wa mabeki zetu tu kwa hiyo tukiweza kuwadhibiti...
Kwa mujibu wa vyanzo nyeti kutoka klabu yetu pendwa, ni kwamba kocha Robertinho ametoa mapendekezo yafuatayo.
Beki wa kati wa rayon sports, na winga wa rayon sports Henry ntima. ( Wachezaji 2)...
Wakuu nadiriki kusema kwamba hii Yanga tuliyoishuhudia jana ndiyo timu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Africa mashariki na kati, hakujawahi kutokea timu ya hapa Africa mashariki na kati ikaupiga...
Hivi haiwezekani kucheza bila ahadi.hiz ahadi huvuruga Sana wachezaji hupanga hesabu zao za matumizi na kusahau Kaz yao uwanjan
Pia suala la wanasiasa liangaliwe nalo
Sent using Jamii Forums...
Kwahiyo hiyo Mvua kwa dakika zote 90 na zile dakika 10 za Kubebwa ( Kutafutiwa Goli ) ilikuwa ikinyesha upande wa Yanga SC tu ( kwa Wachezaji Wao ) na kwa Klabu ya USM Alger kulikuwa na Jua...
Katika dunia ya leo ambayo ustaarabu upo kwenye kiwango cha juu mambo ya hamasa kwenye michezo hususani mpira yamepewa nafasi ndogo sana. Mpira ni mchezo wa medani unaitaji mikakati, mbinu na...
Siasa kuingizwa kwenye mpira, mpira huharibika.
Sidhani kama Yanga ingeshindwa jaza uwanja.
Wanasiasa wamechukua point, mashabiki wanateseka kwa kuuziwa tiketi kwa 15000/
Watu walio taifa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.