Ni kweli Mkude anayo Makosa ya utovu wa nidhamu, lakini kitendo cha kumpeleka Muhimbili kumpima akili ni kumdhalilisha sana.
Kwanini wasimuondoe tu ikiwa wanadhani haendi sawa na utaratibu wa Simba?
"Sasa ni rasmi Yanga SC yetu tumeruhusiwa Kusajili baada ya Kuzuiwa kwa muda kufanya hivyo kutokana na Kushtakiwa na aliyekuwa Kocha Wetu Luc Eymael kwa Deni lake alilokuwa akitudai kwa muda...
Ndio kwani shida ipo wapi bhana?
Kama hela kwenye kibubu hamna, semeni mashabiki na wanachama tutachanga kuhakikisha Simba inawafanyia umafia na kuivunja vunja yanga kipindi hiki!
Raha ya...
NDUGU WANAJAMVI ILI KUWEZA KUPATA LADHA YA KABUMBU VITU VIFUATAVYO LAZIMA VIFANYIE KAZI
Usajili wa wachezaji bora
Benchi la ufundi bora na lililokamilika
Maandalizi ya msimu/ pre season
Viwanja...
Ili uwe bora inabidi kujipima na walio kuzidi ubora, Yanga kwa upande wao wamelitambua hilo imeona itafute timu iliyo juu yao kwenye rank za Caf ili ijipime nayo.
Ukija kwa upande wa Simba...
Yupo wapi mwamba wa Lusaka? Nani amemshuhudia akishiriki yahusuyo Klabu yake tokea arejee juzi?
Inasemekana, hata kwenye zoezi la kupimwa afya, hakuwepo! Vilevile, inadaiwa kaigomea safari ya...
Unaweza kucheza na Phiri kama CF lakini hana uwezo wa kukupa availability factor.
Onana sio mchezaji wa kumtegemea, naye majeruhi yatamuandama.
Kramo hawezi kicheza CF full season.
Bocco ndio...
These is to much! kwa mwekezaji wa Aina hi kila wakat kuwatisha watu as if kwamba bila yeye Simba haitofika mbali ,huu Ni ujinga na upumbafu kuendelea kumbembeleza moo na kumuona mungu mtu ,kila...
Habari zenu wanakabumbu
Hapa tufanye ndio sehemu sahihi ya kufurahia tamu za utani na kuuvumilia machungu ya timu hizi mbili nchini kupitia utani huo.
Hizi ndio timu kongwe nchini zenye...
Kwa sisi wapenzi wa mpira na kisimbuzi cha Azam Tv, nilijipa muda nikachunga na kuthibitisha sisi Tanzania tunalipia pesa nyingi kununua na kulipia vifurushi vya Azam tv tofauti hata na majirani...
Timu ya soka ya Singida Fountaingate ya mkoani Singida imeingia mkataba na Shirika la Ndege la Precision Air la Tanzania kuwa Msafirishaji wake.
Mkataba huo umelenga pia katika kutoa punguza la...
Bado siku 10 ifike tarehe 22, yanga tayari wameingia kambini kujiandaa na msimu ujao, za ndani zinasema kwamba yanga watacheza na Kaizer chief ya Afrika Kusini.
Kiungo mwenye eneo lake ndani ya dimba atua Jangwani na kukabidhiwa Jezi namba 20 ile ile aliyoizoea. Usajili huu utakuwa na faida kubwa sana pale Jangwani kwa sababu huyu kiungo ana nyota yake...
Simba Sports Club imepanda viwango vya ubora wa CAF kutoka nafasi ya 9 hadi nafasi ya 7
Hii maana ake ni kuwa msimu ujao katika draw ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, Simba...
Hii ni orodha ya matokeo ya viwango vipya ambavyo vimetolewa na Shirikisho laa Kimataifa la Takwimu na Historia za Mpira wa Miguu yaani (IFFHS)
Link:- (IFFHS)
Kongole kwa GSM kwa maana jitihada...
Habari zenu.
Fabrice ngoma ni mchezaji nzuri..
Juzi kati simba wameajiri scout wa kutafuta wachezaji je scout wa simba anapora wachezaji wa timu pinzani uwanja wa ndege,sasa kazi ya scout ni...
Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa"...
Kikao kilichofanyika juzi jumapili kati ya uongozi wa Yanga na usimamizi wa Mayele haukufikia muafaka
Yanga wanadai hawataweza kuongeza ofa zaidi kwa Mayele na wamempa machaguo mawili wakala wake...
Makampuni mengi kwa sasa idara ya masoko hawabezi fact kwamba hizi timu zina wafuasi wengi kuzidi vyama vya siasa na huunganisha watu pamoja hata kwenye tofauti za kidini ama siasa.
Makampuni...